Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Huyo wa Msoga achana naye.Huyo Mama Salma Kikwete angetuhurumia kidogo.
Huyo anakula hizo "kufuru zote" hapo juu, bado anaongezea posho za bungeni, mshahara wa ubunge, na kiinua mgongo kinachofikia milioni 200 baada ya miaka mitano ya ubunge wake kwisha.
Huyu kama akijua mbinu za uwekezaji anaweza kuitwa bilionea siku sio nyingi, lakini kama ndio zile akili zetu za ngomani, anaweza akawa ndio kwanza anawaza 2025 atarudi vipi bungeni aendelee kutukamua wajinga.
Una makasiriko na uwivu sio bure..acha nogwa.Sioni chochote cha maana ulichochangia hapa. Hao watoto na wajukuu wa Nyerere kwanini wasijimbanie wenyewe na kuishi maisha ya kawaida tunayoishi watanzania wengine?
Tumzungumzie mama Salma kikwete na Bibi sitti mwinyi na Bibi khadija..kwa sisi ambao baba zetu walifariki mapema na kutuacha na mzazi mmoja tena asiye na ajira joto lajiwe tunalijua..
jamani unyonge mnyongeni ila haki yake mpeni aheni wapate hiyo hela hawa wake wa viongozi hizo pesa hawali peke yao wanamsululu wa wananchi wanawagongea kuja kuwaomba msaada hapo bado vikundi vya wanawake wenzake vinamuangalia yeye..
mfano mama maria bibi yetu yule pale watoto na wajukuu wote analea pale wapo nyumbani wanategemea mafao hayo ndio waishi.
alafu ingekuwa hayo mafao yamewafanya kuwa matajiri wakubwa hapo ningesema sawa ila wengi wao wanaishi kawaida tu. hawana makuu wamama wa watu.
mimi kwa hili naipongeza serikali sana sisi.
Noma sanaKumbe nchi hii ina hela sijui inashindwa nini kuwapa manesi walimu na maaskari hela zao zote wakistaafu mpaka serikali inaanza kusumbuka kubuni sheria ya ajabu ajabu iitwayo kikokotoo!Ambacho kimepelekea hao wastaafu kupata mafao ya aibu
Mikwara bubuWatake wasitake wataziachatu. Watakula zilizo zakwao ila zisizo zakwao wataziacha
Na nyie ndio mnawashangilia hao viongozi80%,ya watanzania mlo wao ni wa mashaka kwa siku, 15% wana mlo wa uhakika usio wa chaguo lao, 5% wanaweza kuchagua wanakula kitu gani wapendacho.
Sasa hapo kuna ujamaa au ufisadi?Africa ujamaa ulitufaa zaidi, kuna jamii flani za watu zipo tofauti na wengine, mifumo ya kibepari tuwaachie wazungu.
Ujamaa na ufisadi havikai pamoja, hata ukiiba hizo pesa utazitumia wapi? Ukivaa saa ya gharama umepatia wapi pesa?Sasa hapo kuna ujamaa au ufisadi?
Huu sasa ndo uvunjifu wa amani
Why?
1. Cheo cha u Rais kitatafutwa kwa gharaama yeyote hata kwa damu, sio utumishi tena ni serious unfairness.
2. Hii unfairness itawauma wazalendo wa kweli walio kwenye mfumo, watainuka wasalitu.
3. Huwezi tesa watu mda wote kwa dhuluma, elastic limit itafikiwa tu na watu wataondokwa na hofu.
4. Mungu Hapendi dhuluma na watu wakilalamika sana atapitisha fagio/azabu.
........ angalieni hii kiburi ya ccm
Hapa duniani wamefunga mkataba na shetani ndo maana wanamuua yeyote anayetishia ama kuongilia maslahi yaoMume nae katupiga kwenye mikataba ya gas bado ana share zake kwenye makampuni ya madini kama ile ya kule Arusha, kama ni baraka tu, hii familia imebarikiwa hapa duniani, sujui huko mbinguni..