EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,579
- 21,407
Nchi nzuri inayoongozwa na watu wabaya
Viongozi Wanajipimia Minyama tu!
Hakuna baraka yoyote,wamevuna laana kubwa sana na maisha ya starehe waliyonayo yatageuka kuwa kilio na kusaga meno baada ya maisha ya hapa duniani. Rejea habari ya tajiri na maskini Lazaro kwenye Biblia takatifu.Mume nae katupiga kwenye mikataba ya gas na bado ana share zake kwenye makampuni ya madini kama ile ya kule Arusha, mtoto ana kamgodi chake cha dhahabu huko Tabora...kama ni baraka tu, hii familia imebarikiwa hapa duniani, sijui huko mbinguni..
Ujinga wa mtanzania ni mtaji mzuri na mkubwa sana kwa wanasiasa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Sijui corona inawaogopa nini hawa mchwa wa kodi zetu.Dah, na wanavyochelewa kufa Sasa nguchiro hawa, just imagine hadi mjane wa Nyerere na Amani Karume hadi Leo wapo tuh, sisi pangu pakavu ndo tunakufa, ni nani kwani Huwa anaandaa huu upuzi wa hayo MALIPO?
Ilipitishwa na Wakubwa wa Ndioooooooo 😳Kuongoza maiti rahaaaa sana
Grrrrrrrr !!!!!!😭