Mafao wanayopata wenza wa viongozi wakuu wastaafu Tanzania ni kufuru

Hii maana yake kuwa waliopo madarakani wanaogopa sana maisha wanayoishi watanzania wa kawaida. Kwa hiyo wanahakikisha kuwa wanakomba kila kitu.
 
Hakuna baraka yoyote,wamevuna laana kubwa sana na maisha ya starehe waliyonayo yatageuka kuwa kilio na kusaga meno baada ya maisha ya hapa duniani. Rejea habari ya tajiri na maskini Lazaro kwenye Biblia takatifu.
 
Tatizo ni moja tu hata ukiishije halafu baadaye tutakufa tu !

And once we die we die forever 🙄
Wengine wanakosa panadol 🙄

Mimi nashauri waongezewe marupurupu 😳👍
 
Mama nyerere ana miaka zaidi ya ishirini na tani toka mmewe amefariki, na analipwa, kwa nini watumishi wa umma walipwe miaka kumi na mbili tu baada ya kustaafu, ataishije baada ya muda huo huku amechoka zaidi, hii Sheria ya mafao ikoje?
 
Nina mashaka na hizi hesabu aisee. Mbona ni pesa nyingi sana! Inawezekana vipi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…