Mafao wanayopata wenza wa viongozi wakuu wastaafu Tanzania ni kufuru

Binadamu ni kiumbe kisichoridhika kabisa.😤😤
 
Vipi kwa makamu wa rais na waziri mkuu?!
 
Ni aina ya ufisadi na ujambazi alioanzisha Nyerere.
 
Arafu kuna mambo kibao yanaitajika ktk jamii zetu. Watu washakuwa na uwezo na bado wanaongezewa uwezo. Sad kweli yani
Yule aliyenacho ataongezewa, na yule ambae hana , hata kile kidogo anachofikiria anacho, kitachukuliwa
 
Huyo Mama Salma Kikwete angetuhurumia kidogo.

Huyo anakula hizo "kufuru zote" hapo juu, bado anaongezea posho za bungeni, mshahara wa ubunge, na kiinua mgongo kinachofikia milioni 200 baada ya miaka mitano ya ubunge wake kwisha.
Hilo.mama ni takataka! Na li mme lake nalo ni takataka! Yana tamaa!
 
MAMA JANET THE HUMBLE LADY FULLY DESERVES IT.
 
Nadhani kuna kiasi fulani cha misunderstanding. The maintenance allowance isn’t separate and distinct from the monthly survivor’s pension. It’s one and the same! Halafu 60% nadhani ilikuwa proposed amendment. The current rate is 40% of the salary of the sitting president.

All in all, the benefits paid to those people are excessive and not aligned with the country’s financial wherewithal.

Viongozi wa nchi hii hawana uzalendo wowote!
 
Niliwahi elezwa juu ya hili, swali kubwa lilikuwa, "Unadhani ni busara kwa serikali kumtelekeza mtu kama Maria Nyerere?" Hii ndio sababu iliyopelekea hiyo sheria ikatungwa.
Wanalipwa shilingi ngapi, hilo laweza kuwa jambo la mjadala. Ila kutoa nafasi ya kwao kutumzwa na serikali, sidhani kama ni jambo baya.
Mambo ambayo yanaleta ukakasi ni kama hili la Salma Kikwete. Sio sawa mtu kuwa na mishahara miwili. Kwa wenzetu hapo Zambia, wastaafu wa nafasi za kisiasa wakiamua kurudi kwenye siasa, stahiki zao za ustaafu zinakoma.
Pia hizi nyumba wanazojengewa marais, badala ya kuwa nyumba binafsi, ni vyema zikabaki kuwa kama kumbukumbu za urais wa rais husika,. Baada ya vizazi kadhaa, kunazingine tutakuja kusikia zimeuzwa na familia
 
mama kikwete anapokea ngapi ukijumlisha na ubunge
 
Kumpa kiongozi utulivu nae akafanya majukumu yake inastahili kutambulika kama hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…