Mafao wanayopata wenza wa viongozi wakuu wastaafu Tanzania ni kufuru

Wote wanakula haramu! Maana hizi ni fedha zinachukuliwa bila ridhaa ya wanaotoa. Hakuna hata Mtanzania nusu aonaye malipo hata ni sawa. Kwa msimao wa Uislamu huu ni wizi. Hata Israel inayopewa fedha za buree na Marekani, hawana ubadhifiru namna hii!
 
Safi Kabisa. Wenza wanastahili heshima bhana...safi hiyoooo
 
Sasa we unaona kuna akili za kuanzisha kiwanda mule?πŸ˜‚
 
Hiyo familia ya KIKWETE ina TAMAA KALIIIIIIIII saaaaanaa
 
NO 9
Mm napitatu

NOB9
 
Hii ni kufuru. Mkuu naomba ufanye update kwenye uzi. Naona umesahau kuwaorodhesha pia Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Spika.Nao pia wanahusika kwenye sakata hili la posho za wake na waume za viongozi.
 
Duh sio mchezo, mbona watoto wa Nyerere walikuaga choka mbaya wengine walevi.. duh ukisikia kula mema ya nchi ndo huku sasa.
 
Hizo asilimia 60 za mshahara wa rais mbona nyingi, mpaka inatiacshaka kama hii .taarifa ni ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…