Mafinga: Mtoto abakwa akitokea Kanisani

Mafinga: Mtoto abakwa akitokea Kanisani

nasema wabakaji ni sawa na wauaji, hivyo sheria ibadilishwe, adhabu ya wabakaji iwe ni kuuuwawa kwa kupigwa risasi.
kwa kufanya hivyo naamini ubakaji utapungua kama sio kwisha kabisa.

Hivi mbakaji unamkamataje na kumkabidhi kwenye vyombo!!! binafsi siwezi lazima nitampa stahiki yake(nimekasirika sana)
 
Picha yake kwanza Mana watoto wa siku hizi mh

Unabakwa unaweza kutembea na kwenda kutoa taarifa kwamba ngoma ilifit kabisa , na mtoto hakuwa bikra Basi tayari anajua wanaume
Huna uelewa wa maana ya kubakwa! Ccm tawala milele, kwa akili hizi!
 
Yaani kanisikitisha sana aisee binadamu hatuna hata huruma, ndio maana kesi za ubakaji watu wanazichukulia simple hajui kwamba hata mtu mzima anaweza kubakwa, tena utasikia si alisikia utamu. Ndio maana wanawake wakibakwa wanakaa kimya wanabaki na maumivu yao moyoni kwa views za watu katika jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msilete u modernisation mwanamke nature yake lazma apigwe mti hiyo ni nature kibaiolojia... ndo maana wakishabalee tuu hisia lzma wazipate
 
I know this young boy Yogi Mtavangu! Ni mchezaji wa mpira wa miguu. Kwa wadau wa michezo pale Mafinga, watakuwa wanamfahamu vizuri tu.

Mpaka muda huu, tayari ameshajiharibia maisha yake, kwa starehe ya muda mfupi! Na akikamatwa tu, basi Isupilo inamhusu. Bora akimbilie msituni, akabebe magogo ya mbao. Akijaribu tu kwenda kujificha nyumbani kwao Mninga, atakamatwa mapema sana.
Mkuu ikikupendeza ni PM niweze kufanya jambo juu ya huyu kijana maana wamezidi sana na nna hakika utaleta mrejesho hapa jamvini naahidi matokeo ndani ya mwezi mmoja
 
I know this young boy Yogi Mtavangu! Ni mchezaji wa mpira wa miguu. Kwa wadau wa michezo pale Mafinga, watakuwa wanamfahamu vizuri tu.

Mpaka muda huu, tayari ameshajiharibia maisha yake, kwa starehe ya muda mfupi! Na akikamatwa tu, basi Isupilo inamhusu. Bora akimbilie msituni, akabebe magogo ya mbao. Akijaribu tu kwenda kujificha nyumbani kwao Mninga, atakamatwa mapema sana.
Mkuu ikikupendeza naomba uni pm naahidi kufanya jambo ikiwa ntapata taarifa nnazo zihitaji ndani ya mwezi mmoja utaleta mrejesho hapa litampata jambo popote alipo nakuhakikishia kama unamfahamu utaleta mrejesho hapa
 
Wanabakwa wanawake watu wazima itakuwa huyo miaka 14.?
Kwanza hawajakubaliana.na hata Kama wangekubaliana miaka 14 no mtoto mdogo.msitafute jela kilazma.kuna mabahasha huko
Mkuu labda kama anasoma ila kama hasomi 14 anamuweza bwana vzr kbs...karibu kusini ujionee lindi na mtwara kisha nikupeleke msumbiji ukajionee mambo
 
Msilete u modernisation mwanamke nature yake lazma apigwe mti hiyo ni nature kibaiolojia... ndo maana wakishabalee tuu hisia lzma wazipate
Kama huna cha kuchangia ni busara kukaa kimya angalau kuficha ujinga bro, Haijalishi ana miaka mingapi au via vimekomaa or ila umri wa mwanamke haujustfy kubaka iwe sahihi. Mwache afanye kwa ridhaa yake na sio kwa force kwa mtu ambae achana na kutokuwa na hisia nae tuu bali humjui.

Tena inaoneka na wewe ni wale wale mbakaji wa underage kwa kisingizio cha via vyake vya uzazi vimekomaa....shame !!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ikikupendeza naomba uni pm naahidi kufanya jambo ikiwa ntapata taarifa nnazo zihitaji ndani ya mwezi mmoja utaleta mrejesho hapa litampata jambo popote alipo nakuhakikishia kama unamfahamu utaleta mrejesho hapa
Bakwa ujitafute

Wewe Ni chenga
 
Back
Top Bottom