Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Mungu awasaidie ma first born 🙏🙏Amiin amiin
Kwakweli mapambano ni makali sana
Mkizidiwa na mambo, mje Wazee wenu tuwashauri 🤗
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu awasaidie ma first born 🙏🙏Amiin amiin
Kwakweli mapambano ni makali sana
Labda wasiojielewa mkuu ndo inaweza isitulieNa ikitokea umeoa mwanamke ambaye ni first born,ndoa yako kutulia inabidi uwe submissive 🙄
Kaini ni mkubwa kuliko Abeli,Je kaini alikuwa Lango?alipouawa Abeli akazaliwa Sethi Je Kaini alikuja kuwa Lango?Ishmael alikuwa mkubwa kuliko Isaka Je Ishmael alikuwa Lango?First Born ni lango kila Kambi inaling'ang'ania.
Na ukitaka kujua Mungu ni mwema ma first born weng Huwa wanakuwa na akili za maisha.......first born muishi maisha marefu
Unamzungumzia kitu Gani? Tusijizime data kina nani? Unaongea na kina nani? Mimi nimesema mzaliwa wa kwanza ni lango .kila Kambi inamtaka.Kaini ni mkubwa kuliko Abeli,Je kaini alikuwa Lango?alipouawa Abeli akazaliwa Sethi Je Kaini alikuja kuwa Lango?Ishmael alikuwa mkubwa kuliko Isaka Je Ishmael alikuwa Lango?
Esau alikuwa mkubwa kuliko yakobo,Je Esau alikuja kuwa Lango?
Reubeni ni mkubwa kuliko watoto wote wa Yakobo,Je alikuwa Lango? Yusufu mtoto wa mwisho ndiye aliyetumiwa na Mungu na baadae kupitia Yuda naye hakuwa mtoto wa kwanza ndipo YESU alipotokea.
Yesu ndiye Lango....mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote ...Lango la macho ya nyama halina ishu,watoto wote wapo sawa,kama kuwaombea,waombewe equally.
Msijizime data,Biblia Ipo kinyume na mnachokiamini