Makamba jr siyo waziri wa kwanza ktk wizara ya nishati kuundiwa zengwe na mafisadi. Mafisadi ya nchi hii yamekuwa yakiparurana na kila waziri wa wizara hii. Hiki ndiyo chanzo cha kelele zote hizi dhidi ya Makamba jr, waziri wa nishati wa sasa.
Mpk wabunge wamo ktk Mkumbo huu. Eti wanasusia kuchangia bajeti! Loo! Hata aibu hawaoani??
Mbona hawakususia bajeti ya utawala bora wakati ripoti ya CAG ikiwekwa kwenye dust bin na spika?? Kama kweli wabunge wanaongozwa na dhamira njema mbona hawakukomalia kujadili ripoti ya CAG???
Labda niwakumbushe ndugu wanaJF, jinsi mafisadi yamekuwa yakiwaondoa mawaziri ktk hii wizara.
1. Nazir Karamagi ....mwaka 1 tu akachomolewa.
2. Msabaha.....mwaka 1 tu akachomolewa.
3. William Ngeleja.....mwaka 1 tu akachomolewa.
4. Pro. Sospeter Muhongo......mwaka 1 tu akachomolewa.
5. Kalemani ...........amekaa muda mrefu (miaka 5) kwasabb alikuwa analindwa na dikteta.
Waziri Makamba jr chapa kazi na kazi iendelee.!! Watanzania wote wenye akili tuko nyuma yako.