Ukiinama kizembe kamasi hiloo[emoji16]
Kitamba kisikae mbali na mkono[emoji16]
Ukiwa kwenye mazungumzo inatakiwa utazame juu zaidi ya 90° vinginevyo kamasi linaporomoka[emoji16]
Usisogee karibu na moto/jikoni vinginevyo kamasi litatia timu mbogani (iwe siri yako lakini)[emoji16]
Usiombe hili tatizo (mafua) likupate ni shida!!
To yeye jiandae kupokea kikohozi maana hawa jamaa ni mapartner!
Tena usiombe ukutane na kikohozi kile standard (kinapatikana afrika tu[emoji41])
Yaani ukikohoa lazima kila mtu akutazame, maana watahisi umelipuka![emoji4]
Kama una mafua peke yake; dawa ya uhakika ni maji, chukua maji chemsha, kanda paji la uso ukienda kulala ni siku 2 tu, ya tatu finishing[emoji4]
Limao ni dawa kwa wachache sana!