Mafua ni ugonjwa jamani!

Mafua ni ugonjwa jamani!

mmm usifanye mchezo,,Nadhani nyakati zimebadilika,mbona kipind cha nyuma nilikuwa sinywi hata dawa yanapona yenyewe.mm saizi ni hatari.Yalinipiga juzi kati sina hamu
Sio corona is back hii?
 
Yaan hata kupika nimeshindwa....mambo siyo mambo... Kichwa kinauma,naona Kuna dalili ya kikohozi.....wanaosema Bora uumwe mafua kuliko Nini sijui....ndugu yangu yanakuwa hayajakukamata aisee.🤧🥵

Hivi mafua Lazima huambukizwe? Au huwa yanakuja tu automatically? Simaanishi namhisi mtu,nauliza tu🙆
mafua ya siku hizi ndio makali, ila zamani hayo hayakuwa magonjwa kabisa. dunia imebadilika sana tangu wazungu na wachina waanze kutengeneza silaha za kibaolojia.
 
Ukiinama kizembe kamasi hiloo[emoji16]

Kitamba kisikae mbali na mkono[emoji16]

Ukiwa kwenye mazungumzo inatakiwa utazame juu zaidi ya 90° vinginevyo kamasi linaporomoka[emoji16]

Usisogee karibu na moto/jikoni vinginevyo kamasi litatia timu mbogani (iwe siri yako lakini)[emoji16]

Usiombe hili tatizo (mafua) likupate ni shida!!

To yeye jiandae kupokea kikohozi maana hawa jamaa ni mapartner!

Tena usiombe ukutane na kikohozi kile standard (kinapatikana afrika tu[emoji41])

Yaani ukikohoa lazima kila mtu akutazame, maana watahisi umelipuka![emoji4]

Kama una mafua peke yake; dawa ya uhakika ni maji, chukua maji chemsha, kanda paji la uso ukienda kulala ni siku 2 tu, ya tatu finishing[emoji4]

Limao ni dawa kwa wachache sana!
 
Back
Top Bottom