Mafundi acheni kulogana

The world is evil, ukizubaa wanakuchapa
 
Hayo ni maonezi aisee
Mwenzako kakukosea nini
Si heri hata ungeloga mtoa tenda
 
Hayo ni maonezi aisee
Mwenzako kakukosea nini
Si heri hata ungeloga mtoa tenda
jamaa ile kazi alipiga lakini baada ya kumaliza na kupokea kibunda akawehuka mazima...
 
Siku nikisikia Mo Dewji na Bakhresa wamerongwa na wafanya kazi wao kwa mshahara mdogo na wakawa machizi ndio siku nitaamini uchawi upo.
 
"Fundi hataki kusema ukweli kuwa analipwa mshahara mkubwa Serikalini"

Au tuanze kwenye hizo kazi za ufundi atahitaji watu wa aina/tabia gani kufanya nae kazi sana sana!?

đź‘‘ Upole au Ukali

đź‘‘ Ukarimu au Ukatili

đź‘‘ Muoga au Jasiri

đź‘‘Wanaocheka au Wanaonuna

đź‘‘ Wenye Ndugu au Wasio na Ndugu

đź‘‘Wenye Fedha au Masikini

đź‘‘WafanyaBiashara au Wafanyakazi

đź‘‘ Uvivu au Uchapakazi

đź‘‘ Kufuata utaratibu uliopo au Kufuata utaratibu utakaokuja

đź‘‘Wafugaji au Wakulima

đź‘‘Wanaopenda Dini au Wapagani

đź‘‘Wanaopenda Starehe au Wasiopenda Starehe

đź‘‘Wabunifu au Wasio wabunifu

đź‘‘Wasomi au wasiosoma

Hivyo yaani

Yesu ulipigwa sijui walilidhika na ukweli uliowapa

"Fundi hataki kusema ukweli kuwa analipwa mshahara mkubwa Serikalini na Malupulupu manono kila saa na siku nzima" - Muda wote ni Kazi ya ufundi tu

Au tuanze kwenye hizo kazi za ufundi atahitaji watu wa aina/tabia gani kufanya nae kazi sana sana!?

đź‘‘ Upole au Ukali

đź‘‘ Ukarimu au Ukatili

đź‘‘ Muoga au Jasiri

đź‘‘Wanaocheka au Wanaonuna

đź‘‘ Wenye Ndugu au Wasio na Ndugu

đź‘‘Wenye Fedha au Masikini

đź‘‘WafanyaBiashara au Wafanyakazi

đź‘‘ Uvivu au Uchapakazi

đź‘‘ Kufuata utaratibu uliopo au Kufuata utaratibu utakaokuja

đź‘‘Wafugaji au Wakulima

đź‘‘Wanaopenda Dini au Wapagani

đź‘‘Wanaopenda Starehe au Wasiopenda Starehe

đź‘‘Wabunifu au Wasio wabunifu

đź‘‘Wasomi au wasiosoma

Hivyo yaani

Yesu ulipigwa sijui walilidhika na ukweli uliowapa
 
Mafundi ujenzi ndio wana ushenzi huo, wale kutukanana na kupigana ni kawaida kwao, ndio maana ufundi wao huwa hakuna wa kuushangaa licha ya kuwa wanajenga nyumba na watu wanaishi humo ila mafundi ujenzi ndio wanaongoza kwa kuchukiana
 
Huyo aliyerogwa hakujua kwamba kuna Yesu?. Au alidhani Yesu alikuja duniani kuzurura?.
 
Mafundi ujenzi ndio wana ushenzi huo, wale kutukanana na kupigana ni kawaida kwao, ndio maana ufundi wao huwa hakuna wa kuushangaa licha ya kuwa wanajenga nyumba na watu wanaishi humo ila mafundi ujenzi ndio wanaongoza kwa kuchukiana
Exactly kabisa wanaujinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…