Jamaldini pie
Senior Member
- Apr 13, 2017
- 162
- 120
Bado kipo mkuuHabari ndugu Wana JF ,nilinunua simu yangu ya pixel 5A na Jana ikafa machine kwaiyoo nataka kuwauzia kioo ch Google pixel 5A kwa sh 230,000View attachment 3309197View attachment 3309199
Nipe mawasiliano ya huyo fundi mbishi na mm nikajaribu kikubwa iwake tu nitoe vitu Vyangu 5A sio simuKwakweli pixel 5A ni kichomi mi mwenyewe ilizima ghafla. Niligundua mafundj wengi wanaziogopa sana simu za pixel na waliniambia kuwa ukiona simu ya pixel imezima jua sababu either kioo au socket.
Nilipata fundi mmoja mbishi alikomaa nayo ikawaka,baada ya kuwaka ikapoteza network,alipambana kwenye hardware ikapona nimepiga nayo mzigo wiki Moja mbele ikazima tena.
Nimeachana nayo.
Yuko mwanza wewe uko wapi.?Nipe mawasiliano ya huyo fundi mbishi na mm nikajaribu kikubwa iwake tu nitoe vitu Vyangu 5A sio simu
Nipo Dsm Lakini nitaenda huko Mwanza karibuniYuko mwanza wewe uko wapi.?
N
Nipo Dsm Lakini nitaenda huko Mwanza karibuni