mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,181
sijakuelewa uliposema hakuna cozi za simu, kokote, sisi tuliwahi kujiunga na chuo cha infinity on line, wanakufundisha kila kitu, mtangulizi wa habari hii ametaja hardware pekee kuwa ndio kazi ngumu, sio kweli, kuna simu nyingi ambazo mwaka 2002 ilikuwa ikizima ni lazima uchukue simu nzima unyonye eeprom, firmware na NV ili uweze kufufua nyingine na kutoa software kweye simu ni lazima utafute njia ya RX, TX, Ground hapo kama uwezi kusolder simu au kupima rx , tx nad ground ambazo hazikuwekewa lebel inakula kwako. kuna wakati wa kuanilock BB5 nokia kwa njia ya kuroot cpu kama ujui hardware imekula kwako. nina mengi sana ya kusema kwa kuwa niliwaji kuwa mbobezi kwa watu wengi na nilikuwa natoa solution kwenye mtandao wa simu wa ulaya unaitwa telempire ambao umemezwa na gsmhosting.com, wakati huo, wakina gsmfather, andromeda, steve wa griffin, raskal , eletroboy na yule mkali wa samsung wa iran ambaye alizaliwa hana utosi lakini alikuwa kichwa balaa. na yule ambaye alitaka kufungwa kwa kukract software ya sony, tukamchangia akashinda kesi.Mda mrefu nimeanza face hizi shida toka nikiwa second year chuo 2012, nikipata tatizo nilikua nikipitia forum tofauti tofauti ili kupata soln, kiukwel hakuna coz yyt ya ufundi wa simu, ila tu ni kua na idea za electronics kwa upande wa hardware na kujua lugha na majina na namna yakutumia software za sim
Mkuu nakuheshimu sana na naheshimu elimu yako uliyonayo katika utandawazi wa uwezo wa kungamua matatizo ya simu. Unaweza ukajalibu kujifanya unajua mengi kuhusu simu kumbe mengine unanoa, hivyo, nakushauri, usitenge hii fani na software, kwani ni vitu vinaendana kwa karibu, labda kinachokela kwenye simu, ni wateja kuburuza mafundi, simu ina redio, kamera, bluutoth, recoder, inatunza kumbkumbu (memory card)bado mteja analeta anataka siku hiyo hiyo, je, utafiti utaufanya saa ngapi wakati umesimamiwa?kazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi.
kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na mteja na akasema umembadilishia saketi na mnaweza kufikshana hata polisi mteja kama sio muelewa.
tatizo linakuwa wapi?
inamaana wakati unaifungua hiyo simu ulitoa betri bila kuzima simu. kwahiyo unapo toa betri hakikisha unazima simu.
na ikizima hivyo solution yake simu inatakiwa iende ikaflashiwe.
lakini tatizo lingine hawa mafundi software wanatuangusha sana mafundi hardware huwa hawataki kukomaa kabisa na wanapenda kazi rahisi rahisi na sijajua tatizo nini kwamba mazingira yanawabana au vipi.
kwasababu wao simu nyingi ukiwapelekea za kuflash. wanakuambia memory imekufa au kwenye computer haisomi lakini ukipima njia za usb ziko safi.
kazi ya hardware inahitaji akili yako zaidi tofauti na majamaa wanao deal na software wao kila kitu wanagoogle.
sisi upande hardware kuna baadi simu hata ugoogle vipi huwezi kupata solution hasa hizi tecno.
na ktk matatizo ya simu ambayo yanawatesa mafundi simu ni haya matatizo ya tecno.
na hii tuseme ukweli tecno na simu ya kimaskini na ndio maana kila mtanzania mwenye kipato cha chini anakimbilia.
na tecno ni simu ambayo matatizo yake ni pasua kichwa na ndio maana tatizo lolote ukiwapelekea tecno wenyewe wanakimbilia kubalisha saketi.
mm ni fundi ambaye natengeneza simu nyingi ambazo mafundi huwa wanzangu wanazishindwa.
siri ya ufundi simu.
1 ni kujua kuitumia mita vizuri 2 kujua kutumia gani vizuri 3 kuwa msafi 4 na kuwa mkweli.
kuna baadhi simu za tecno ambazo mafundi simu walisha kata tamaa kwamba hazi tengezeki lakini leo nitawapa baadhi ya solution kadri muda utakavyo kuwa unaniruhusu.
na kama hata ww utakuwa unasolution yoyote tutaomba tuzidi kusaidina.
tecno h5 p5 m3 hizi simu zimekuwa na tazizo sugu ukitaka kuiwasha tu inakuwa inajiminya button ya kujifomart
lakini mm kadri ya uwezo wangu nilijitahidi kugungundua solution ya hii tecno m3 kwa 100%.
na leo nataka nianzie hapo baadaye nitaleta solution
za tecno
fake charging tecno h6 l5 l6 tecno c8 c5
harafu nitaleta solutiona ya mic ya tecno ya tecno t340 na tecno zote zina zinazotumia system ya chaji ya v3
na hizo solution huwezi kuzipata pale na zamani tulizoe solution kutoka india lakini hizo simu india hazipo kwahiyo waafrika tukomae.
ndo ipi apo mkuu?change rf ic Ok..
Nimeng'oa,baada ya hapo?hiyo simu n'goa syestem chaji kwanza.
Kwaio mimi naweza kuja ofisini kwako nika jifunza Mkuukwa tanzania sijajua kama bado kuna vyuo vinafundisha kozi ya ufundi simu. ila mafundi wa simu wa zamani kuanzia mwaka 2003 enzi za simens motorola philips nk.
lakwalikuwa wanajifunza vyuo vya ufundi veta.
lakini saizi ufundi umebadilika sana. hata kama wanafundisha ufundi simu.
sijajua kama bado wanaendelea kufundisha kozi ambazo zinaendana na wakati
kwa upande wangu mm nilijifunza kwa mtu ambaye alijifunza veta ila na mm nimejiongeza sana kwa kusoma online.
ila mwanafunzi mzuri ni yule anaye fundishwa kitu na yeye anagundua kitu.
Mimi nipo Darww uko wapi
iyo simu ukiunga mic earphone znakuwa pluged in cjui tunatoaje naapo ulipoandika first remove nmetoa lkn wap!!! what soln
mchoro wa h6 nitakuletea lesho
Nimeunga jumper ya blue tuu.change rf ic Ok..
Nashukur mkuu hozole1 iv aiwezekan tukatoa hiyo headsethiyo solution ni ya kutoka kwenye headset kwahiyo hapo lazima isome headset
kuna njia ya kioo umeigusa subr tuone solutionNimeunga jumper ya blue tuu.
Mrejesho ni kioo kinawaka lakini WHITE TU bila maandishi mkuu?
sawa mkuu nmekuelewa apa itabid kupambana spika itoe itoe mzikhaiwezekani kwasababu hiyo ndio hesabu ya mwisho. na hiyo simu headset isipo onekana inamaana mic haiwezi kufanya kazi
tikisa uem kama unauzooefu wa kureplace ic'shaiwezekani kwasababu hiyo ndio hesabu ya mwisho. na hiyo simu headset isipo onekana inamaana mic haiwezi kufanya kazi