Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

a0dcae4ff4c45a86e7ec889c31ffbb8a.jpg
 
Bloa imezingua mwenye ufaham anisaidie,nikiiwasha inawaka vizuri ila nikiizima haitoi upepo wa kupozea.Na je,nikiitumia hivyo madhara yake ni mini?
 
Wadau, display ya samsung J1Ace cha patikana kwa bei gan
mkuu hio display ni TZS 160,000 nilienda kuuliza juzi kwenye duka la samsung maana simu yangu pia display imekufa.. hata mafundi wa mtaani wamesema hivyo hivyo. spares za samsung ziko so expensive.
 
Solution ya simu za kisasa hususani tecno kuto kujaa wakati inachajiwa c5, c8.... kwa anyejua tusaidiane mafundi
 
Solution ya simu za kisasa hususani tecno kuto kujaa wakati inachajiwa c5, c8.... kwa anyejua tusaidiane mafundi
mm natumia c8 ilkiwa inachekewa sana kujaa naweza kuweka mda ninao lala sa3uck inajaa sa1asbh
mm nilichofanya nilibadirisha tu USB nayo cjawah kuona ara ivyo uwaga nawaza ikifa ntaipata wap kama ile
 
Kubadua hizo tach za j7,c8,c9 nk,unatumia nini kibadua,boroa au nini majibu tafadhar
 
mkuu hio display ni TZS 160,000 nilienda kuuliza juzi kwenye duka la samsung maana simu yangu pia display imekufa.. hata mafundi wa mtaani wamesema hivyo hivyo. spares za samsung ziko so expensive.
Hizo J1 simu yenyewe kwa mkononi napata 150,000 sasa kioo tu kiwe zaidi ya simu?
 
Hivi kwanini mafundi hardware work desk zenu zinakuwa zimebondekabondeka,zimeungua na gani,chafuchafu na disorganised.hebu badilikeni bwana tengenezeni work stations za kisasa,afu mnazingua sana wateja

Kutoka kwa fundi software[emoji3]
Hyo ni hard work Hakuna mda wa kupangilia, sio soft work una mda wa kupangilia .
 
msaada Tecno340 inasubua 08* na ok
ntumie mbinu gan ikiwa hiyoapo chin imagoma[emoji116]
 

Attachments

  • TECNO%2BT340%281%29.jpg
    TECNO%2BT340%281%29.jpg
    36.5 KB · Views: 214
Back
Top Bottom