Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Hili limemkuta jamaa yangu juzi. Mteja kampelekea simu ya touch ili kubadili display. Jamaa kanunua display kambadilishia baada ya makubaliano ya bei. Ilipokamilika kamtaarifu mteja wake kwamba simu iko tayari. Mteja kamwambia kama utapita maeneo ya ofisini kwangu nipitishie, wakaafikiana.
Fundi wakati anaipeleka iko mfukoni akiwa na boda sijui hata ilitokea nn touch ikavunjika. Ikabidi arudi akamnunulie touch nyingine kamuwekea. Kasheshe likaibuka wakati amemaliza kuweka touch anafunga simu eti ile display aliyoweka ikafa(sikuelewa namna ilivyokufa).
Mteja alipofika kuchukua simu yake akaelezwa hiyo scenario akauliza sasa tunafanyaje? Mteja alikuwa polisi pia!

Nikaacha mjadala.
 
Tecno c8 netwotk chenga kabsaaa.... Nimebadlisha ic ya netwok lakin bado chenga
 
Wataalamu wa Software hizi simu za Window Nokia kukataa kudownload Whatsapp mara nyingine kuandika Microsoft account. Unavailabl. Nini suluhu?







Mafundi wenzangu wazoefu hivi kutumia Petrol kama mbadala wa Benzine hii imekaaje?


Maana nimekutana na fundi mwenzangu hana wasiwasi katika hili.




UKIKOSA BENZINE BORA UTUMIE NINI?
 
Hah hah hah Mkuu ulivyokana!!

Ila vipi mkuu ulishawahi badili simu ic na ikakubali kuwaka?

Ulitumia vigezo gani kujua ic hii ni sahihi kwa simu hii?


Au ndio ile ile kanuni kuu lazima ziwe simu mfanano? Zugak17
Ic zina id zake so ndo kinachoweza kutokea zikamatch. Mfano ic ya touch ya tecno c5 nimeiweka ktk tecno
f5 imepga kaz frsh
 
Ic zina id zake so ndo kinachoweza kutokea zikamatch. Mfano ic ya touch ya tecno c5 nimeiweka ktk tecno
f5 imepga kaz frsh
Mazingatio ni lazima zimechi namba na maneno yote?

Ni lazima ic's zote zifanane zile za Net section na Power section zidi ya simu unayotaka kubadilisha?

Au ikifanana ic's moja tu unayotaka kubadilisha hakuna tatizo.
Zugak17
 
njia gani naweza flsh tecno m3 ikiwa upande wa usb hausomi
Mkuu kama si mtu ambaye mvivu wa kusoma rudi nyuma kuna mafundi Software wameelekezana namna ya kufanya.

Kama umesoma hujaona suluhisho basi ngoja tusubiri waje wakuu wengine
 
nimepitia nikaona GND sasa kuna njia mbili ambazo inabidi utumie gun kushikiza ss nyaya ipi ya usb ikae wap
 
Mazingatio ni lazima zimechi namba na maneno yote?

Ni lazima ic's zote zifanane zile za Net section na Power section zidi ya simu unayotaka kubadilisha?

Au ikifanana ic's moja tu unayotaka kubadilisha hakuna tatizo.
Zugak17
Nahisi utakuwa na idea na lazma ufanye kwa test ndo humo humo unapass.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…