Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa



Mafundi tulio karibu tuwe tunasaidiana mawazo na kupeana kazi ili kuweka uaminifu kwa mteja.


Connector ya kioo cha Startimes nimekosa na mteja kanisimamia hadi nimalize nimepoteza wateja wangapi?
Ahahahhahaha ww kiboko haisee
 
Msaada mafundi wa software naamin hata humu wapo ata kwa ushaur unatosha
iyo sim ikiwaka inaishia ivyo kuandika galace alaf niliingia kureboot ikawaka ikamaliza kabisa matokeo yake haukuleta file lolote inawaka giza tyu
 

Attachments

  • IMG_20170501_160538.jpg
    29.2 KB · Views: 83


Mafundi tulio karibu tuwe tunasaidiana mawazo na kupeana kazi ili kuweka uaminifu kwa mteja.


Connector ya kioo cha Startimes nimekosa na mteja kanisimamia hadi nimalize nimepoteza wateja wangapi?
hiyo connector mbona unahangaika kupi looping wakati hiyo connecter inaingiliana na connecter za tecno nyingi.

hiyo connecter sii njia 25 hiyo nyia 25 inaingiliana na connecter ya camera karibu simu nyingi android zinazo tumia chip ya MTK na Spedram.
 
Msaada mafundi wa software naamin hata humu wapo ata kwa ushaur unatosha
iyo sim ikiwaka inaishia ivyo kuandika galace alaf niliingia kureboot ikawaka ikamaliza kabisa matokeo yake haukuleta file lolote inawaka giza tyu
Model yake ni ip???
 
Nimetafuta nimekosa mkuu.


Alafu mteja ana haraka.

Ila nimemtaarifu kuwa endapo kioo kikiharibika kanuni itakuwa hii


,Kadai hilo ataliangalia baadaye kuna vitu anavihitaji katika simu.
 
Nimetafuta nimekosa mkuu.


Alafu mteja ana haraka.

Ila nimemtaarifu kuwa endapo kioo kikiharibika kanuni itakuwa hii


,Kadai hilo ataliangalia baadaye kuna vitu anavihitaji katika simu.
Ahahahhahahaa haisee ufundi una kazi kweli kweli...
 
Nimetafuta nimekosa mkuu.


Alafu mteja ana haraka.

Ila nimemtaarifu kuwa endapo kioo kikiharibika kanuni itakuwa hii


,Kadai hilo ataliangalia baadaye kuna vitu anavihitaji katika simu.
kazi ngumu kama hiyo haitakiwi mteja akupelekeshe.
inatakiwa akupe muda wa kutosha. kwasababu ukisema ukomae na simu hiyo hiyo unaweza kulala njaa.
 
Hilo ndo la maana. Maana huwa hawachelewi kusema wanasafiri. Hapo ndo huwa nasema sijawahi kufanikisha kaz ya msafiri
japo kuwa wateja wanasema mafundi waongo lakini utadhani wao ndio wamezidi. unakuta siku nyingine kila mteja anayeleta simu kutengeneza utasikia anasema anasafiri.
 
japo kuwa wateja wanasema mafundi waongo lakini utadhani wao ndio wamezidi. unakuta siku nyingine kila mteja anayeleta simu kutengeneza utasikia anasema anasafiri.
Dawa yake ni kumsogeza mpaka kesho yake ukaona sasa anasafit au vp!!!
 
Dawa yake ni kumsogeza mpaka kesho yake ukaona sasa anasafit au vp!!!
wanakuwaga waongo na akiona unataka kumpa simu yake utasikia ngoja basi nialishe safari.
ila kwenye ufundi simu nilisha onaga usikubali kupelekeshwa na akili za wateja utafail.
 
Fundi mwenzangu kama ofisin kwako unachajisha na simu hakikisha mteja kabla hajaondoka chaji inapeleka moto ama simu inawaka ndipo umruhusu mteja aondoke.



Limetokea hili kwangu mara mbili simu haiwaki alafu mteja anakuja anakuambia simu imeisha chaji naomba nichajie huku anajifanya anaharaka.


TUZINGATIE
 
Kuna simu za batani zilikuja haziwak Nokia lain2 na tecno.

Nilizipasha power ic zikawa kimya baadaye nikapasha CPU napo ikawa kimya.

Nikaamua kuitoa CPU kabisa na kuchomea upyaa.


Kilichotokea ni kuwa zote mbili ukiweka betry nakuhold power zinawaka ukiachia power zinazima.



Je ni nini suluhisho la mwisho hapo wadau wengineo na.



Zugak17 hazole1
 
sijakuelewa unasema hiyo simu ilikuwa inawaka ila taa za kwenye batani zilikuwa haziwaki?

au simu ilikuwa inawaka ila batani ndio zilikuwa hazifanyi kazi?
 
wanakuwaga waongo na akiona unataka kumpa simu yake utasikia ngoja basi nialishe safari.
ila kwenye ufundi simu nilisha onaga usikubali kupelekeshwa na akili za wateja utafail.
Unafail au unalud na nauli tu nyumbani. Maana alyways wenye visimu vidogo siku zote huwa wana haraka
 
Unafail au unalud na nauli tu nyumbani. Maana alyways wenye visimu vidogo siku zote huwa wana haraka
ila kweli kunabaadhi ya matatizo mteja anaweza akasubilia simu yake na akaondoka nayo. kwa mfano mic speaker syestem chaji nk lakini ikitokea labda njia zimekata hiyo mteja lazima akupe muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…