Fanya hvo kwanza ulud utupe mlejesho
Huyo fundi haja jipanga kwanini umpelekee simu mteja labda hana wateja kitendo cha kuondoka ofisini unapoteza wateja piaHili limemkuta jamaa yangu juzi. Mteja kampelekea simu ya touch ili kubadili display. Jamaa kanunua display kambadilishia baada ya makubaliano ya bei. Ilipokamilika kamtaarifu mteja wake kwamba simu iko tayari. Mteja kamwambia kama utapita maeneo ya ofisini kwangu nipitishie, wakaafikiana.
Fundi wakati anaipeleka iko mfukoni akiwa na boda sijui hata ilitokea nn touch ikavunjika. Ikabidi arudi akamnunulie touch nyingine kamuwekea. Kasheshe likaibuka wakati amemaliza kuweka touch anafunga simu eti ile display aliyoweka ikafa(sikuelewa namna ilivyokufa).
Mteja alipofika kuchukua simu yake akaelezwa hiyo scenario akauliza sasa tunafanyaje? Mteja alikuwa polisi pia!
Nikaacha mjadala.
Nimekuwa wa kuzibadlisha kutoka katika y300 tu
Kioo si chn ya elf 4 hlo suala la kusoma line elf 5 tu. Na buku ya maji ndo 10
Nokia ya india laini mbili ila inasoma 1 na kioo haina..
Ili isome zote na kubadilisha housing inagharimu shngap?? Wazee wa Hardware njooni
Upowap?Kioo si chn ya elf 4 hlo suala la kusoma line elf 5 tu. Na buku ya maji ndo 10
Ofisini pande zip hapa DSM
Tabata SegereaOfisini pande zip hapa DSM
Elf 5mwenye kujua bei ya jumla ya display za simu ndogondogo kama t340
Vitu vingine tunaweza saidiana face to face so inakuwa ni bola watu mtaje address zenuWakuu habari zenu.Mimi sio fundi ila nimekua nikiufatilia uzi huu tangu ulipo anza hadi sasa ila nina tatizo na simu yangu Tecno c5 tatizo lakwanza iliingia maji, tatizo la pili software ilikua inasumbua simu inaweza ku stack then ina leta chenga chenga kama vile tv za zamani zikipoteza chanel. Nilipeleka kwa mafundi wetu wa uswailini ila naona kama ndio ameua kabisaa.Msaada tafadhari