Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

WAtalam vp iyo iyo haina homepage wala menu sasa cjui nifanyeje kwabab nikitaka kuingia apo yeyote lazma niingie Setting alaf niende app ninayoitaka msaada
Simu inaitwa galace sq
 

Attachments

  • IMG_20170506_100906.jpg
    26.8 KB · Views: 111
Umejalibu kuchange charging ic???
Mkuu nimechelewa kujibu.


Broa waliniwasha vijana MJINI AKILI.


Hivyo nimempa jamaa mmoja.
Pamoja na kwamba jamaa alibana kunibadilishia IC.
 
Naomba mwenye sakiti ya tecno c8 aje pm tuongee biashara
mkuu mbona hizo sakiti zipo hapo hapo kaliakoo na wanauza 50000.
ngoja kesho nikutafutie namba ya jamaa anaye ziuza hizo sakiti muwasiliane.
 
Msaada mwenye kioo cha samsung galaxy s6, rangi yoyote ,kiwe kipya au used ,kiwe kizima na original .iwe bei nzuri ,tuongee biashara
nina sm g920f... hyo ya kwako ni model ipi?
 
Tatizo kubwa kwa mafundi simu upande wa hardware kutumia hisia zaidi kuliko avometa,

Lakini pia kazi ya hardware nakubali kabisa kuwa hisia zinahitajika

Mfano ni pale unapopokea simu ambayo kwa kutumia mita utagundua pengine ina short circuit,simu ikiwa na shot circuit mara nyingi ic nyingi husomeana na ground jambo ambalo humfanya fundi atumie hisia kali kuliko kipimo.


Kwahiyo kupitia huu uzi nami nitaeleza mawili matatu namna ya kusolve shot circuit kutegemea na chanzo cha shot yenyewe mfano chanzo kinaweza kuwa maji,umeme,kudondoka.
 
For those of u into hardware save MONEY AND BUY BGA SEMI REWORK STATION..IT WILL HELP ALOT..

BGA SEMI REWORK STATION CAN REMOVE ANY IC OR CHIP WITHOUT U TOUCH IT SELF..
 
sheikh kumbe kotekote unapiga!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…