Unacho sema ni kweli mkuu kwa mfano mm hapa ni fundi simu ila maswala ya kutumia mita sana nimejifunza kwa fundi radio.hazole1,and others
Mimi naamini ukiwa fundi ni bora ujue .ELECTRONICS kwa ujumla wake ambayo itajumuisha HARDWARE na SOFTWARE ukiwa nusu nusu sio competent! maana simu ni radio formulated/(transmeter and reseiver). naukijua ELECTRONICS maana yake uweze kusoma schematic diagrams na block diagrams ambapo kwa kupitia hizo ni vigumu kushindwa tengeneza simu yeyote ukijumuisha kama una vifaa vya kufanyia kazi,kama multimeter,gun,blowers including infrared ones,BGA remover,esd safe materials,osciloscope,torx set etc tambua ufundi ni vifaa na ujuzi sasa wengi wetu ukishakuwa na blower,gun,screwdriver umemaliza hapo lkazima uharibu vitu vya watu,
1.Mimi nahitaji mwenye solution ya Tecno W4 ukiflash kwa scatter file inakuwa haidisplay!
2.Wapi ntapata BLOCK DIAGRAM ZA TECNO NA ITEL na SCHEMATIC DIAGRAMS ZAKE
hyo j7 copy au og?rrKama kuna mwenye kufahamu kama upo uwezekano wakupata touch screen ya samsung J7 peke yake naomba kujulishwa
J7 orghyo j7 copy au og?rr
hyo j7 copy au og?rr
nina shida ya kioo compreteNinayo j7 unata una sh ngap
nina shida ya kioo compreteNinayo j7 unata una sh ngap
nina shida ya kioo compreteNinayo j7 unata una sh ngap
unaitaka ikiwa kioo kibovu?…Nakuckiliza mkuu ww wauzaje hyo
Nna shda na touch nzmaunaitaka ikiwa kioo kibovu?…
sasa mkuu unawaza kupata touch ya j7 iliwa peke yake? hayo mawazo ya kuokota nyumba ktk nchi yenye amani ondoa kabsaa... nunua kioo compreteNna shda na touch nzma
Nashukuru kwa ushaurisasa mkuu unawaza kupata touch ya j7 iliwa peke yake? hayo mawazo ya kuokota nyumba ktk nchi yenye amani ondoa kabsaa... nunua kioo comprete
sawaNashukuru kwa ushauri
Na pia hyo complete naweza kupata kwa bei ganNashukuru kwa ushauri
Na pia hiyo comlete naweza kupata kwa bei ipi mkuusawa
OkLaki 2 na nusu
soma google and youtube koziKama ambavyo ili uwe fundi mzuri wa hardware mbali na uzoefu inapendeza usome koz fupi ya eletronik
Vipi katika Software inapendeza usome kozi ipi.
Mkuu