Duuuuu nyie noma ntawatafuta mana had CIA walishindwatulishaitoa kaka
CIA walishindwa kupata ID ya ICLOUD yani email na password, sisi hatujapata email na password ila tume iremove i cloud.Duuuuu nyie noma ntawatafuta mana had CIA walishindwa
Jarib kuchange APN kulingana namtandao unaotumia kuna sehem nakujaza ikiwemo hiyo authentichazole1 msomali90 na wataalamu wengine mimi simu yangu ina shida upande wa network sikuhizi haishiki kabisaa 3G wala H+ Tatizo ninini mkuu ???
Pia upande wa play store kuna baadhi ya apps nikitaka kudownload zinagoma zinaniambia AUTHENTICATION IS REQUIRED. YOU NEED TO SIGN INTO YOUR GOOGLE ACCOUNT watati nyingine zinakubali
Ni Sony experia Z1
Nawasilisha
Cc Smart911
Ingia settings kisha nenda kweny mobile network, zen nenda kwenye access point itakupeleka kweny hiyo APN sasa hapo itabid ujaze gaps ili kufanikisha tafuta raia mwny sim yeny lain kma yako ili ucopy ilvyojazwa hizo gaps
Sawa mkuu ngoja nifanye hivoIngia settings kisha nenda kweny mobile network, zen nenda kwenye access point itakupeleka kweny hiyo APN sasa hapo itabid ujaze gaps ili kufanikisha tafuta raia mwny sim yeny lain kma yako ili ucopy ilvyojazwa hizo gaps
Mkuu huko kwenye APN naona options mbili tuIngia settings kisha nenda kweny mobile network, zen nenda kwenye access point itakupeleka kweny hiyo APN sasa hapo itabid ujaze gaps ili kufanikisha tafuta raia mwny sim yeny lain kma yako ili ucopy ilvyojazwa hizo gaps
jaribu kufanya hivihazole1 msomali90 na wataalamu wengine mimi simu yangu ina shida upande wa network sikuhizi haishiki kabisaa 3G wala H+ Tatizo ninini mkuu ???
Pia upande wa play store kuna baadhi ya apps nikitaka kudownload zinagoma zinaniambia AUTHENTICATION IS REQUIRED. YOU NEED TO SIGN INTO YOUR GOOGLE ACCOUNT watati nyingine zinakubali
Ni Sony experia Z1
Nawasilisha
Cc Smart911
Nikiclear hazina effect yoyote endapo itazingua kusovika??jaribu kufanya hivi
fungua "settings" then "apps" then "play store" then "clear data"
ila hizo steps inategemea unatumia version gani ya android
no effectNikiclear hazina effect yoyote endapo itazingua kusovika??
no effect
clear data
Kwahiyo hapo ni clear nini data ama cache ?? [emoji121]
Mm sio fundi lkn nachukia mafundi wanaofungua machine yeyote halafu wanashindwa kuirudishia km ilivyokuwa utakuta fundi amemaliza kazi halafu amebakiwa na nut/screw mkononi unamuuliza hizo za wapi hajui!ufundi simu unaanzia na kufungua kwahiyo hilo lizingatie sana.
na kama simu hauielewi vizuri ni bora ukaingia youtube na ukauliza ni namna gani ya kuifungua.
Nikimaliza kuclear ndo nafanyeje tena mkuu??clear data
reopen playstoreNikimaliza kuclear ndo nafanyeje tena mkuu??
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/2ba6f69ed56b8ad5cf5ebfbce6fc7f13.jpg[/IMGreopen playstore
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/2ba6f69ed56b8ad5cf5ebfbce6fc7f13.jpg[/IMG
Inaniambia hivo eti. Nahio reopen tena nitaianzia wapi make sina nilijualo kabisa kwenye hizi issue.. Niwie radhi kwa maswali [emoji120] [emoji120]
Ni tecno phantom A7Nipe model ya hiyo tecno.