Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mkuu Silasy umenifanya nicheke kama nakuona ingali sikufahamu

Mm sio fundi lkn nachukia mafundi wanaofungua machine yeyote halafu wanashindwa kuirudishia km ilivyokuwa utakuta fundi amemaliza kazi halafu amebakiwa na nut/screw mkononi unamuuliza hizo za wapi hajui!



Safi sana msomali90 kwa uvumilivu wa maswali mwalimu powaah.
 
Badlisha vitu vinavyopata moto
Asante mkuu nimetoa kila kitu nimebakiwa na PCB tu nimekuja gundua chin ya kioo ilichomwa moto huko kariakoo hivyo imekataa baadh ya njia kwa ndani.

Nimeachana nayo.
 
Kwenye upande wa network je mkuu??
3G na H+ zina miezi miwili zimekata kabisa hata nikisearch mpaka keshokutwa kwenye options hazijii
try this, fungua
"setting" then "network settings" then "preferred network type" then hakikisha umeselect "3g" au "auto"
 
try this, fungua
"setting" then "network settings" then "preferred network type" then hakikisha umeselect "3g" au "auto"
Setting inanipeleka kwenye hii


Hapo kwenye mobile network kuna hii

Ukija kwenye Internet settings kuna hii tu inayohitaj kukubali or kukataa tu haiongezi maongezi hapo ukubali / ukatae yenyewe imemaliza

Tukienda mpaka kwenye service providers kuna hizi ambapo zamani kwenye hizo options zilikuepo na 3G na H+ but nowdays naona zinakosa kabisaaaaa hata isearch siku nzima nahapa ndo kwenye mashikolo hapa hizo mbili zimeyeyukia wapi??


Tukija kwenye APN kuna hii

Tunaendelea na Vodacom Internet kuna hii
Nahii

Cc Smart911
 
Mm sio fundi lkn nachukia mafundi wanaofungua machine yeyote halafu wanashindwa kuirudishia km ilivyokuwa utakuta fundi amemaliza kazi halafu amebakiwa na nut/screw mkononi unamuuliza hizo za wapi hajui!
Aah [emoji4][emoji4] umenifurahisha sana...hapo fundi umempata
 
Huawei y300 tatizo lake call ended kila nikijarbu kupiga simu tafadha msaada hapo
 
ingia kwenye "network mode" then select "wcdma/auto"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…