Samahani mkuu naomba kujua namna ya kutoa contact service nokia x2[
x2 only haina 0X2-0ngap????
X2-00, x2-01 & x2-02x2 only haina 0
x2_01X2-00, x2-01 & x2-02
Mkuu unabahatisha nshakusomax2_01
Kaka Namba plz mie pia nahitaji circuitmkuu mbona hizo sakiti zipo hapo hapo kaliakoo na wanauza 50000.
ngoja kesho nikutafutie namba ya jamaa anaye ziuza hizo sakiti muwasiliane.
OK mkuuNipe muda kidogo nimtafute jamaa ambaye ananamba yake
julisha km ukipigiwa simu zinaingiaHuawei y300 tatizo lake call ended kila nikijarbu kupiga simu tafadha msaada hapo
hapo mara nyingi inakuwa ic ya kuchargeWakuu cm yangu ni lenevo iliwahi piga shot wakati iko charge nilipeleka kwa fundi k/koo kajaribu kwa upande wake alifanikiwa kiiwasha ila tatzo bado lipo kwenye charge ukiweka charge badala ya kuongeza yenyewe inapunguza so natumia Kobe 2 kwenye kucharge
Nahisi kama inaweza kuwezekana. Maana ukitoa miguu ya mwisho ya taa mingne ikishakuwa connected saf tu...iv watalam akuna mbinu ya kilazimisha kioo displey mfano kioo kina miguu 37 alaf ww unacho chenye miguu 36 et akuna utalam apo iyo 36 ikafanya kaz kwenye 37
kwan ushawah kujarib mana hata iyo naitaman kuijuaNahisi kama inaweza kuwezekana. Maana ukitoa miguu ya mwisho ya taa mingne ikishakuwa connected saf tu...
Jaribu mzeekwan ushawah kujarib mana hata iyo naitaman kuijua
Pm meWakuu cm yangu ni lenevo iliwahi piga shot wakati iko charge nilipeleka kwa fundi k/koo kajaribu kwa upande wake alifanikiwa kiiwasha ila tatzo bado lipo kwenye charge ukiweka charge badala ya kuongeza yenyewe inapunguza so natumia Kobe 2 kwenye kucharge