Pm meKama Kuna m2 anatengeneza nimletee mzigo
Ina rom gan kwa sasa????Wakuu Nina simu ya Tach hapa inaitwa "MI" mchina .
Tatizo lake nikitaka kuangalia SALIO au kuweka inaleta ujumbe "connection problem or invalid MMI CODE"
Tatizo lipo wapi hapo wakuu
Haiwezekani kwasababu vioo navyo huwa vinaendana na softwareNahisi kama inaweza kuwezekana. Maana ukitoa miguu ya mwisho ya taa mingne ikishakuwa connected saf tu...
Mkuu usiseme haiwezekan maana simu za kichna huwa hazijielewi kama unavyofikiriWw acha dharau ww sio wakijilinganisha na trump.
Hadi umuite trump boya.
Haiwezekani kwasababu vioo navyo huwa vinaendana na software
Na ndio maana kunasimu huwa zinachagua vioo unakuta kunasimu ukiweka njia 37 kinakataa lakini ukiweka kwenye simu nyingine kinakubali na nyingime ukiweka kwenye simu nyinge kinakataa lakini unakuta simu zote vioo ni njia 37
Mm hizo solution nimejaribu mpaka basi.Mkuu usiseme haiwezekan maana simu za kichna huwa hazijielewi kama unavyofikiri
Mkuu usiseme haiwezekan maana simu za kichna huwa hazijielewi kama unavyofikiriWw acha dharau ww sio wakijilinganisha na trump.
Hadi umuite trump boya.
Haiwezekani kwasababu vioo navyo huwa vinaendana na software
Na ndio maana kunasimu huwa zinachagua vioo unakuta kunasimu ukiweka njia 37 kinakataa lakini ukiweka kwenye simu nyingine kinakubali na nyingime ukiweka kwenye simu nyinge kinakataa lakini unakuta simu zote vioo ni njia 37
Hujaweka alama ktk hyo icMm hizo solution nimejaribu mpaka basi.
Ila mm nilichogundua ktk hizo simu ukiona na kio njia ni zile zile na hainyesha cha kufanya kama inamemory badilisha na memory ambayo inaenda na software ya kioo.
Umeiona jiyo ic yenye miguu njia 8 yani huku 4 na huku 4
Hizo ndio memory ya hizo simu kwa mfano hiyo ikizima au ina password ukibadilisha hiyo ic inakuwa poa kabisa.
Thanks
Ofa yako bei gan???Naweza pata wapi kioo cha galaxy note II