Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Wakuu habari zenu.

Samsung haiwaki mpaka uchomeke chaji ndipo uiwashe inawaka.

Nipeni suluhisho la tatizo hilo.
mara nyingi charger connector inakuwa chafu jaribu kuisafisha vizuri na kuikausha kwenye taa
 
Angesema ni mtandao gan pia anatumia ingekuwa rahisi kumpa maelezo
Tatizo hawa wadau hawasemi wengine ukiwambia hawajieleza vizuri wanatukana matokeo yake mimi huwa nakaa kimya 'mara nyingi huwa hawataji aina za simu hizo thread nikuzipotezea hadi watakapo anza kujieleza vizuri'
 
Hvo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…