Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Tuma picha ya saketi yako kwa upande wa mbere na nyuma then nitakuwekea alama katika ic unayotakiwa ubadilishe au upime njia zake kama zinatoa mawasiliano vzur
lakin mbona mic inawork vizuri, ngoja nkutumie
 
me nina nokia asha 200 ukitaka kupiga simu inajizima kabisa halaf inajiwasha hilo tatizo limeanza siku hizi mwanzo ilikuwa ipo vizuri ebu niambieni tatizo ni ninii betry au mana betry yake ipo vizuriii tu
 
Inaweza pona
 
Nahisi pale inapokuwa connected na receiver... Ichek kama connection yake isiyokuwa ground kama imegusa ground yoyote
 
me nina nokia asha 200 ukitaka kupiga simu inajizima kabisa halaf inajiwasha hilo tatizo limeanza siku hizi mwanzo ilikuwa ipo vizuri ebu niambieni tatizo ni ninii betry au mana betry yake ipo vizuriii tu

jaribu kuireset kwanza ikigoma, flash tu kawaida
 
Kuna lenovo a399 ilizima tu ghafla,nmejarbu kucheza nayo wap? nmeflash lakin bado ngoma patupu,
nimeisafisha bado,
mwenye idea yoyote, haiwak kabisa zaidi ya kudetect kwenye pc tu
 
InAdetect vp
 
hahahha najua shoo nilicheka tu ulivyokuwa unatia huruma

Tehtehteh. Nilikua nafata maelezo ila slow but sure kuogopa kufuta kitu kisirudi mazima

Kuna jirani alinielekezaga sijui fanya hivi mara vile ndo nikaharibu kimeo changu kabisaaa sina hamu ndomana I was veri makiniii

Cc Smart911
 
na mm naona yatanikuta yako nimeelekezwa hata sijui naanzia wapi halaf simu yenyewe haina mambo ya screenshots sijui nitamwambia vipii anielewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…