Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

hii njia imegoma kabisa kwenye t340 ila ya mwanzo iko vizuri
 
Ukisema kioo unamaanisha nn!!! Alafu motorola zipo model nyng. Taja model tafadhari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sory, nna laptop yangu nikiwasha inadai hard disk password, na cjawah kuiwekea, nmepeleka kwa mafund baadh wanajarbu kutoa imewashinda na kuiformat hard disk pia wameshindwa, plzz km una weza kutatua tatzo langu dm me plzz, au nichek 0717969791
Mm nilisoma computer engineering, so nilisoma vingi kuhusu technology, swala la software za sim ckuwah soma darasani vitu vingi nimejifunza baada ya kuface matatizo mpk kujikuta fundi mzur, i am good at computer software na hardware kuliko sim
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…