Hapo labda ishu kwenye process na file lilotumika hivyo kama unahitaji waweza tafuta fundi mwingine. Na inategemea fundi wa awali kakueleza niniaimalizii kuboot
Mkuu labda unaweza kunisaidia tatizo langu. Nina simu aina ya LGx400 haizimi data. Sehemu ya kuzimia data iko faint. Nimepeleka kwa mafundi wameshindwa kutatua tatizo. Wengine hawana software na wengine walikuwa nayo lakini wamesema hawana codes hivyo wameshindwa kuflash/ update software. Je itawezekana hilo tatizo kwako mkuu? Nipm ikiwezekana ili nikuone kwa urahisiNimependa jinsi unavyokomaa katika hardware, lakni tambua mambo yafuatayo katika kuflashi simu yanayowashinda watu wa software..
1: Walio wengi hawajui driver zipi za kutumia wakati wa kuflash au namna ya kuzi-install hapa hadi ujue namna ya kufunga driver signature katika windows. Kuna driver tofauti kulingana na cpu ya simu kuna fastboot driver, adb driver, cdc driver,cpu driver nk na zote ni kwa ajili ya simu moja kulingana na unachotaka kufanya katika simu husika. Bila driver utaishia kusema simu haisomi.
2: Katika kuflash inabidi uwe na usb cable nyingi halafu origino, ikitokea ukaunganisha isisome au ikakwambia usb haitambuliki badilisha usb nyingine (hii imenitokea mara nyingi baada ya kubadilisha usb nyingine simu inakubali).
3: Uchafu au vumbi katika usb port ya simu. Ni vema ukasafisha na benzini kwanza ili kuondoa vumbi. Pia inabidi utambue boot key za kutumia wakati wa kuunganisha simu na usb sio simu zote zinazotumia power key. Hapa unaweza ukashangaa unachomeka usb simu inaanza kuchaji.
4: Mwisho kabisa usitegemee flashing box pekee kwamba litamaliza tatizo lako la simu, tumia tools mbalimbali kulingana na simu.
Ukiambiwa na fundi software kwamba memory imekufa yeye kama yeye hawezi kuiflash. Simu zinatumia memory ambayo ndo inabeba os ni kama vile kompyuta inavyotumia hdd kuwekewa windows, ile memory ikifa ukipata nyingine kama ile unaweza ukabadilisha na ukaiflash simu yako.
Kwa yote yaliyofanyika reset ilifanyika?Mkuu labda unaweza kunisaidia tatizo langu. Nina simu aina ya LGx400 haizimi data. Sehemu ya kuzimia data iko faint. Nimepeleka kwa mafundi wameshindwa kutatua tatizo. Wengine hawana software na wengine walikuwa nayo lakini wamesema hawana codes hivyo wameshindwa kuflash/ update software. Je itawezekana hilo tatizo kwako mkuu? Nipm ikiwezekana ili nikuone kwa urahisi
Mkuu mi nipo kahama sijui wewe unapatikana wapi?Mkuu labda unaweza kunisaidia tatizo langu. Nina simu aina ya LGx400 haizimi data. Sehemu ya kuzimia data iko faint. Nimepeleka kwa mafundi wameshindwa kutatua tatizo. Wengine hawana software na wengine walikuwa nayo lakini wamesema hawana codes hivyo wameshindwa kuflash/ update software. Je itawezekana hilo tatizo kwako mkuu? Nipm ikiwezekana ili nikuone kwa urahisi
Ilifanyika lakini haikusaidia kitu/ haikumaliza tatizoKwa yote yaliyofanyika reset ilifanyika?
Duuuuuh. Mi niko Dar na Moro mkuuMkuu mi nipo kahama sijui wewe unapatikana wapi?
Ulijaribu kurestore ikagoma?Duuuuuh. Mi niko Dar na Moro mkuu
Kama una kompyuta unaweza ukadownload file lake halafu ukaiflash mwenyewe. Njia maalufu ya kupata file la simu yako ni kwa kutumia imei number ya simu yako.Ilifanyika lakini haikusaidia kitu/ haikumaliza tatizo
Nop boot loader version ndio njia nzuri ya kupata flashfile onlyKama una kompyuta unaweza ukadownload file lake halafu ukaiflash mwenyewe. Njia maalufu ya kupata file la simu yako ni kwa kutumia imei number ya simu yako.
Mi huwa natumia Imei namba tu, na software ninazotumia zina option ya kusearch kwa imei tu. Kuhusu bootloader version sijawahi kujaribu.Nop boot loader version ndio njia nzuri ya kupata flashfile only
Yote ni sawa sema tu kama wewe umezoea njia fulani usisema hyo tu ndio njia boraMi huwa natumia Imei namba tu, na software ninazotumia zina option ya kusearch kwa imei tu. Kuhusu bootloader version sijawahi kujaribu.
Hakuna niliposema kwamba ni njia bora.Yote ni sawa sema tu kama wewe umezoea njia fulani usisema hyo tu ndio njia bora
Pale uliposema njia maalum. But sio case labda ni uelewa tofauti tuHakuna niliposema kwamba ni njia bora.
Nimesema njia maalufu maana ndo nakutana nayo kwenye software zilizo nyingi hata website najua za kutumia imei namba ili kupata rom file.Pale uliposema njia maalum. But sio case labda ni uelewa tofauti tu
Poa mkuu sema tu mm najua unatoa kazi kubwa ya kusearch kitu ambacho ungefanya mwenyewe kwa vile unaijua simu model yake na wakati mwingine hata build number . Hivyo ndio vitu vinavyotakiwa kutumika zaidNimesema njia maalufu maana ndo nakutana nayo kwenye software zilizo nyingi hata website najua za kutumia imei namba ili kupata rom file.
Poa kakaMi natumia hii link
http://csmg.lgmobile.com:9002/csmg/b2c/client/auth_model_check2.jsp?esn=IMEI. Hapo kwenye neno imei ndo naweka imei number za simu husika, itakuja page yenye code za html, ndani ya code hizo unakuta kuna link inaishia na .kdz hiyo ndo inakuwa link ya file ya simu yako.
Hiyo attachment ni ya program ninayotumia pia.
Ulijaribu kurestore ikagoma?[/QUOT
Ndio mkuu haikufaa