minjanjaakali
Member
- Jan 25, 2018
- 25
- 7
Mbona nyngine zina dumu sana mkuuHapo jibu ni kwamba simu zao wanazitengeneza zitumike kwa mda mfupi tu ili upate kununua nyingine baada ya miezi/mwaka
Tecno ipi imedumu ?
Tecno ipi imedumu ?
Weka picha hapa tuone tena ikiwa on maana watu tuna Galaxy s2 n S3 tokea 2012 mpaka Leo tunadunda nazo.Nina Tecno yangu PHANTOM F7 tangu niinunue mwaka 2014 mwezi wa 8 hadi leo inadunda tu, naipenda sana.
Hii hapa mkuuWeka picha hapa tuone tena ikiwa on maana watu tuna Galaxy s2 n S3 tokea 2012 mpaka Leo tunadunda nazo.
Tecno Sprack K9 ya Juzi Juzi tu dogo ishamfia tayari alafu angalia hizi W3 zinavyokufa kama kuku wa mdondo
Zipo nyingi ila niliyo jionea mm ni tecno y6 nilikaa nayo mwaka na miezi 4 nikauza na niliye muuzia bado anayo inapiga kazi ila w3 ndio majanga aiseeTecno ipi imedumu ?
Yaan haya maelezo mkuu yameshiba kabisaKuna w3 kama mbili hivi niliwahi kujaribu kuzifanyia utafiti. kwanini hizo simu zina zima sana. na kwanini zingine zinapo kuwa zinawaka huwa zinaleta chenga.
Chenga kwenye display
1 nilianza na hiyo ya kuwaka inaleta chenga chenga kwenye display kwanza nikatoa memory ya ndani nika kaangali kwenye njia nikakuta kuna njia zimeng'oka.
Na hizo njia ziling'oka baada ya simu kuanguka.
Na nikajaribu kuangalia kwenye prosesa nayo nikakuta kuna baadhi ya njia zimeng'oka.
Na nikaja kugundua makosa wanayo fanya na tecno na itel ni kujifanya ni masuper star na kufanya mizaha kazini kwa sababu makampuni ya simu mengine kama samsung lg huawei prosesa zao pamoja na memory lazima waweke gundi hata simu ikianguka au ikiingia maji isilete madhara ya moja kwa moja.
2 nilikuja w3 ya pili nikatoa prosesa na pamoja memory. na nilipo jaribu kuangalia kwenye njia zake nikakuta hamna hata njia hata moja iliyo ng'oka. na nikaja kundua hiyo simu ina exp date ikutumika baada ya mwaka mmoja lazima izime na ndio maana hiyo simu ukita mpya huwezi kukuta imezima.
Msaada utaupata kwa fundi wa karibu na weweKuna tecno h6 imezingua mic msaada please
Nisha tatua mkuuMsaada utaupata kwa fundi wa karibu na wewe
Ok. PamojaNisha tatua mkuu
0675390916 Kama kuna group la wasp ni niungeni napenda umojaOk. Pamoja
Link ipo humu ngoja nikusogezee0675390916 Kama kuna group la wasp ni niungeni napenda umoja
MOBILE HARDWARES0675390916 Kama kuna group la wasp ni niungeni napenda umoja
Mkuu simu Y6 mie ninayo nina mwaka mmoja na miezi 2, lakini hivi sasa majanga tuu.Zipo nyingi ila niliyo jionea mm ni tecno y6 nilikaa nayo mwaka na miezi 4 nikauza na niliye muuzia bado anayo inapiga kazi ila w3 ndio majanga aisee
Mkuu Nina simu aina ya Tecno Y6 ,mm nilikupa solution ya kubadilisha charging system nikajua umeisha jaribisha kufuata hatua zote. za kubadilisha chaji pamoja na usb.
na siku nyingine ukiona simu ina fake charging badilisha hivyo vitu kwanza.
Zipo touch fake ambazo ukiwekewa inaweza kufanya kazi vizuri kwa siku kadhaa tu na baada ya hapo utakuta touch inajioperate yenyewe au baadhi ya maeneo haifanyi kazi. Hasa tecno y6Mkuu simu Y6 mie ninayo nina mwaka mmoja na miezi 2, lakini hivi sasa majanga tuu.
Nimebadilisha Touch Mara tatu ndani ya mwezi mmoja lakini bado simu inasumbua mpaka sasa.
Sasa hiyo Original nitaipataje ikiwa K/koo maduka mengiZipo touch fake ambazo ukiwekewa inaweza kufanya kazi vizuri kwa siku kadhaa tu na baada ya hapo utakuta touch inajioperate yenyewe au baadhi ya maeneo haifanyi kazi. Hasa tecno y6
Kwani wewe upo dar. Kama n hvyo naweza kukuelekeza sehemu ninayoiamini. Japo kila mtu ana sehemu yake ila hata wenye majina makubwa pale pia feki wanazoSasa hiyo Original nitaipataje ikiwa K/koo maduka mengi