shukrani mkuu nimeona wewe ni balaa pia asante kwa kunionyesha njia mbili moja ni hyo ya spika ikikata sauti nyingine ndio hyo ya maiki
sawa mkuu nasubiri pia na h5 na P5 ukiziwasha ni kama umebonyeza batani ya kuformat
mchoro wa h6 nitakuletea lesho
ila hiyo solution ni ya kutoka kwenye headset kwahiyo itatumika upande wa mawasiliano tu mtu akipiga inakuwa itoa vibrate na upande wa muito sauti inakuwa ndogo.shukrani mkuu nimeona wewe ni balaa pia asante kwa kunionyesha njia mbili moja ni hyo ya spika ikikata sauti nyingine ndio hyo ya maiki
hiyo h5 hilo tatizo halitengenezeki kabisa. ila hiyo p5 kutengenezeka ni 10% jaribu kuremove diod ambazo zipo karibu na hizo volume batani.sawa mkuu nasubiri pia na h5 na P5 ukiziwasha ni kama umebonyeza batani ya kuformat
sawa .mkuu ngoja nisubirie huo mchoro wa h6 usiojaza chajihiyo h5 hilo tatizo halitengenezeki kabisa. ila hiyo p5 kutengenezeka ni 10% jaribu kuremove diod ambazo zipo karibu na hizo volume batani.
ikishshaka hapo achana nayo itakupotezea muda.
sawa mkuuhuo mchoro nitakucherea kesho.
Hii lazima niifanyie kazi kesho maana nimepata shida kweliii
mchoro wa h6 nitakuletea lesho
Mkuu naomba na mchoro wa Samsung. GT-S5301 SEHEMU YA KUWEKEA LINEhuo mchoro nitakucherea kesho.
Nimenunua nyingine lkn sitaki kuipoteza ina uzuri wake mkuu.hapo hadi kubadisha saketi au kwa ushauri mzuri nunua simu nyingine.
Nitajitahidi kufanyia kila ushauri wako mkuu.
ila mchoro ukitaka ukusaidie jitahidi na kuitumia mita vizuri.
Nitajitahidi kufanyia kazi kila ushauri wako mkuu.
ila mchoro ukitaka ukusaidie jitahidi na kuitumia mita vizuri.
Najitahidi mkuu sema ishu inakuja pale ambapo napima alafu haioneshi ishara yoyote huwa njia imekata sasa kujua hapo ndio sehemu sahihi kazi.
ila mchoro ukitaka ukusaidie jitahidi na kuitumia mita vizuri.
DUUUUUH kuna jamaa kaniletea simu hiyo Samsung nimtengeneze sehemu ya laini sema GND,GEM FLASH na panapofuata mstari bluu vyote vimeng'oka ntafanyaje JUMPER wakuu yaani muda huu ndoo naiangalia naliona tatizo baada ya kutoa conector
ila mchoro ukitaka ukusaidie jitahidi na kuitumia mita vizuri.