Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Samsung J1tourch imezingua gharama yake plus ufundi.
location: Makumbusho
 
simu yangu ya nokia kitochi, zilikua zinafanya kazi vizuri, lkn nilipo badilisha chaja tu, kioo kikaanza kuleta mistari na hatimae kikawa cheupe kabisa, tatizo litakua nini ?
 
Nina Lg v20 nikiizima na kuichaji inachaji tu fresh Lakn nikichomoa
Ile chaja bdo yenyew Inaonekana kama inajichaji jappkuwa haijai hebu Wataalam nisaidie Hapo Tatizo n nni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu najua jukwaa hili ni kwaajili ya hardware ila naomba msaada wenu kwa upande wa software..nimesahau password ya icloud alafu nahitajika kifanya upadate msaada tafadhari wakubwa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
simu yangu ya nokia kitochi, zilikua zinafanya kazi vizuri, lkn nilipo badilisha chaja tu, kioo kikaanza kuleta mistari na hatimae kikawa cheupe kabisa, tatizo litakua nini ?
Badilisha display mkuu huenda njia za umeme kwenda kwenye display zimekufa.

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Hbari zenu huko ktk madroo yenu nataka kioo na tachi ya mchina i-smart IS-50
 

Attachments

  • I-Smart-IS-50-Black-SDL152789504-3-6f4b4.jpg
    14.9 KB · Views: 24
iPhone 3 meters USB Charger

Ni ndefu sana that unaweza ukacharge ukiwa mbali na Socket

Zipo 10 pieces tu.

Bei ya USB ni Tsh 15,000 kwa piece moja.

Free delivery kwa Wateja wa DAR ES SALAAM ONLY mikoani tunatuma

Call, text, Whatsapp 0784 757 203
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…