Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Natafuta back housing ya IPHONE 6S, rangi isiwe Silver.

Karibu PM
 
wazee nina shida kidogo hapa msaada
S8 G950U,tatizo lake ni hii msg after flashing kama kuna mwenye suluhu au rom inayoweza kutulia bila kuleta hii msg
shukran
 
Me IMEI namba imefutikaaa🤨🤨🤨🤨

nlitoboa chief ila nlikesha saa nne asubuhi ndio ikakaa mkao sema tu now network haiko stable inakata muda mweingine ukiwa ndani !! kuna namna ya kuisimamisha ikae mkao kabisa??
 
Nimeflash simu tecno f2 lte kwa kutumia tecno flash tool mwanzonni ilikuwa na frp nimedownload file kutoka havotek nikaflash tatizo likatokea imei imefutika na baseband unknown, nikadownload tena file kutoka naija rom nikapiga file imei na baseband ikarudi ila tatizo ni sim card 1 iko locked na vodacom na iyo ndio yenye option ya 3g/4g na sim 2 ni 2g tu na ukitumia bila line ya voda sim 1 huwezi kupata mtaandao, naomba msaada nifanyanje niweze kutatatua hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada mwenye mchoro au anaejua hizi key pad ways model tecno t728 keys zisizo fanya kazi 1-4-7-*
 
unlock network mkuu ungekua kibha karibu ofisini
 
Nina tablet ya sumsung s9, betri linaniambia 100% ila nikichomoa kwenye charger inajizima, inaanza kuunguruma, kama vile inataka ku restart ila inashindwa, so inabidi mda wote iwe connected kwenye umeme, tatizo ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tecno T660 inaandika battery error ukichomeka kwenye charge..
Nimejaribu kubadirisha battery bado
Nimejaribu kubadirisha charge tofauti tofauti bado..
Msaada wakuu
 
Tecno T660 inaandika battery error ukichomeka kwenye charge..
Nimejaribu kubadirisha battery bado
Nimejaribu kubadirisha charge tofauti tofauti bado..
Msaada wakuu
Badili system charge

Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…