Nilibadili windows kwenye computer yangu sasa natumia miracle box with loader, kila nikijaribu ku connect sim inaniambia may be drivers au usb port not supported ila drivers nimeweka afu kuna drivers nikiweka zinagoma zinaongelea swala signature certificate , naeza kuremove vip hiyo kitu?Nimependa jinsi unavyokomaa katika hardware, lakni tambua mambo yafuatayo katika kuflashi simu yanayowashinda watu wa software..
1: Walio wengi hawajui driver zipi za kutumia wakati wa kuflash au namna ya kuzi-install hapa hadi ujue namna ya kufunga driver signature katika windows. Kuna driver tofauti kulingana na cpu ya simu kuna fastboot driver, adb driver, cdc driver,cpu driver nk na zote ni kwa ajili ya simu moja kulingana na unachotaka kufanya katika simu husika. Bila driver utaishia kusema simu haisomi.
2: Katika kuflash inabidi uwe na usb cable nyingi halafu origino, ikitokea ukaunganisha isisome au ikakwambia usb haitambuliki badilisha usb nyingine (hii imenitokea mara nyingi baada ya kubadilisha usb nyingine simu inakubali).
3: Uchafu au vumbi katika usb port ya simu. Ni vema ukasafisha na benzini kwanza ili kuondoa vumbi. Pia inabidi utambue boot key za kutumia wakati wa kuunganisha simu na usb sio simu zote zinazotumia power key. Hapa unaweza ukashangaa unachomeka usb simu inaanza kuchaji.
4: Mwisho kabisa usitegemee flashing box pekee kwamba litamaliza tatizo lako la simu, tumia tools mbalimbali kulingana na simu.
Ukiambiwa na fundi software kwamba memory imekufa yeye kama yeye hawezi kuiflash. Simu zinatumia memory ambayo ndo inabeba os ni kama vile kompyuta inavyotumia hdd kuwekewa windows, ile memory ikifa ukipata nyingine kama ile unaweza ukabadilisha na ukaiflash simu yako.
Miracle ina driver zake za pekee ambazo wametengeneza wao inabidi uzidownload kutoka kwenye site yao au sehemu nyingine ambazo utazipataNilibadili windows kwenye computer yangu sasa natumia miracle box with loader, kila nikijaribu ku connect sim inaniambia may be drivers au usb port not supported ila drivers nimeweka afu kuna drivers nikiweka zinagoma zinaongelea swala signature certificate , naeza kuremove vip hiyo kitu?
Thank you bro, natumia windows 10 ,64 bits, let me try,Miracle ina driver zake za pekee ambazo wametengeneza wao inabidi uzidownload kutoka kwenye site yao au sehemu nyingine ambazo utazipata
tafuta kwa kuandika "Miracle Driver installation" kuna za windows 7 na 8-10. Ukiweka tofauti na hizo miracle haitafanya kazi.
Upande wa driver signature inategemeana unatumia windows gani, kama ni windows 10 restart windows ukiwa umebonyeza shift key endelea kushikilia hadi itakapowaka ikiwa na options za kuchagua, chagua Troubleshooting>Advanced setting>Startup settings bonyeza restart itawakia kwenye maelezo mengi bonyeza namba 7 au F7 kwenye Keyboard baadaya hapo install driver zako.
Alafu vip kuhusu Volcano box with loader na experience the same problem how do i solve itMiracle ina driver zake za pekee ambazo wametengeneza wao inabidi uzidownload kutoka kwenye site yao au sehemu nyingine ambazo utazipata
tafuta kwa kuandika "Miracle Driver installation" kuna za windows 7 na 8-10. Ukiweka tofauti na hizo miracle haitafanya kazi.
Upande wa driver signature inategemeana unatumia windows gani, kama ni windows 10 restart windows ukiwa umebonyeza shift key endelea kushikilia hadi itakapowaka ikiwa na options za kuchagua, chagua Troubleshooting>Advanced setting>Startup settings bonyeza restart itawakia kwenye maelezo mengi bonyeza namba 7 au F7 kwenye Keyboard baadaya hapo install driver zako.
Then kuna mda ina niambia may be no drivers or non usb portMiracle ina driver zake za pekee ambazo wametengeneza wao inabidi uzidownload kutoka kwenye site yao au sehemu nyingine ambazo utazipata
tafuta kwa kuandika "Miracle Driver installation" kuna za windows 7 na 8-10. Ukiweka tofauti na hizo miracle haitafanya kazi.
Upande wa driver signature inategemeana unatumia windows gani, kama ni windows 10 restart windows ukiwa umebonyeza shift key endelea kushikilia hadi itakapowaka ikiwa na options za kuchagua, chagua Troubleshooting>Advanced setting>Startup settings bonyeza restart itawakia kwenye maelezo mengi bonyeza namba 7 au F7 kwenye Keyboard baadaya hapo install driver zako.
Volcano sijawahi kulifanyia utafiti, mimi natumia Nck, gpg dragon, miracle box, piranha, Gsm aladdin na baadhi ya tools zingine.Alafu vip kuhusu Volcano box with loader na experience the same problem how do i solve it
BlessingsVolcano sijawahi kulifanyia utafiti, mimi natumia Nck, gpg dragon, miracle box, piranha, Gsm aladdin na baadhi ya tools zingine.
Hiyo error inatokea pale inapongojea simu itambulike kwenye program hiyo kama itatokea hakuna driver ile time out ikifika ndo inaandika hivyo. Pia kama una driver ulizoweka awali zitoe zote kwa kutumia program ya "usb deview" halafu weka hizo za miracle, kama una antivirus umeweka izime isi-scan partition yenye windows pekee.Then kuna mda ina niambia may be no drivers or non usb port
Thank you bro ntakupa feedback ngoja ni testHiyo error inatokea pale inapongojea simu itambulike kwenye program hiyo kama itatokea hakuna driver ile time out ikifika ndo inaandika hivyo. Pia kama una driver ulizoweka awali zitoe zote kwa kutumia program ya "usb deview" halafu weka hizo za miracle, kama una antivirus umeweka izime isi-scan partition yenye windows pekee.
Mafanikio mema ndugu.Thank you bro ntakupa feedback ngoja ni test
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kutojua mchoyo wa teknologia, ubarikiwe zaidi.
na hizi ni baadhi kazi ngumu ambazo nimewahi kuzifanya.
angalia usb connector ways ka zko poa,ka zko fresh angalia tx&rx dots choma waya zako flash,afu huawei kuna zle znasurpot kwa sd card tumbukiza firmware kweny sd then upgrade from sd 1000000%Wakuu mi sio mtaalamu wa hardware ila nipo fiti kwenye software tatizo langu nimepata huawei g610-u00 nataka kuiflash lakin haitaki kudetect... Nikiiwasha inaishia kwenye logo tu... Nimeweka collect drivers lakin bado haitak kudetect
Na Xbox v2+ port zake za USB unaztamba
chukua clamp ya pcb safisha UEM tia fluX piga moto wa kutosha ukiitkisa kwa mbaali ikicheza mara3 tosha jarbu itakua poa N:B cm hzo UEM nduo IC mama inayo control ic zingne zote na ndio zmo ndan yake kasoro RF tuHii imekataa kabisa kusoma LAINI no itel