kuhusu fake charging kuna vtu vwili cha kwanza from usb port volts hazfki kwenye kwenye transistor,ikiwa znafka lazma zenir diode 4148 from usb + to battery terminal+
hilo ni kweli inategemea simu na simu lakini 99% tecno h6 tatizo lake linakuwa kwenye mkanda.kuhusu fake charging kuna vtu vwili cha kwanza from usb port volts hazfki kwenye kwenye transistor,ikiwa znafka lazma zenir diode 4148 from usb + to battery terminal+
Asante mkuu .
Una maana akuuzie display?mkuu ama!
Kuna fundi hardware aliyewahi kutana na hii simu humu anisaidie display yake baada ya kudondoka ikafa
Inaitwa BlU
sijui inaitwa app gani ila natumia note 4 nikiingia sehemu ya edit wananiletea sehemu ya kuchora
Nina simu huawei honor 5c Nem-tl00h...tatizo frequency bands haxiendani na frequency band za mitandao ya tanzania..je nikibadilisha firmware , itafanya kaziMm nilisoma computer engineering, so nilisoma vingi kuhusu technology, swala la software za sim ckuwah soma darasani vitu vingi nimejifunza baada ya kuface matatizo mpk kujikuta fundi mzur, i am good at computer software na hardware kuliko sim
present tatzo vzur usaidiwe
Mkuu tatizo mwanga katika display natoboa??
hzo sio frequens band mzaz kuhusu frequens labda cmu iwe imeua BASEBAND IC,hyo n imei no.au network lock hai acces cod ya Tz mzazNina simu huawei honor 5c Nem-tl00h...tatizo frequency bands haxiendani na frequency band za mitandao ya tanzania..je nikibadilisha firmware , itafanya kazi
ujue hyo n illigal mzaz,kampun huska wakikushika n ahda ila inawezekana vzur tuku unlock huawei yii ili niweze kutumia,line za mitandao yote anejua plz anijuze njia zake
true mdau ndo maana cjataja kampuni gani nimenunua na mishe kama hizo hua ni inbox ukimpata anaejua cz ni mtafutaji kama mm hawezi kunichoma na akinichoma no way out ndo harakati za maishaujue hyo n illigal mzaz,kampun huska wakikushika n ahda ila inawezekana vzur tu