Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Lipia tangazoMajibu ni kama ifuatavyo!
Hiyo separate mita inafanya kazi kwa kutegemea MAIN METER YA TANESCO!
Hivyo cha kwanza kabisa lazima MAIN mita iwe na umeme ili hiko kisepareti meter kifanye kazi!
Hivyo makato yote ya kodi za serikali (Jengo, ewura, rea, na 18VAT) yanakatwa kupitia manunuzi ya MAIN METER YA TANESCO na si vinginevyo!
Je, kinafanyaje kazi?
Ni kwamba unaponunua hicho kiseparete meter dukani au kiwandani unapewa link ya kuingia na kuingiza mita namba ya MAIN METER!
Ambapo ukishaingiza mita namba inakutolea SUB TOKEN za umeme ambazo utalazimika kwenda kuziingiza kwenye separate meter ili umeme uwake!
Hivyo mfano!
MAIN METER YA TANESCO INA UNIT 100Kwh!
Ukitengeneza tokeni ya umeme wa unit 20 inamaana utapunguza kule kwenye 100 zitakuwa zimebaki 80 kwa wapangaji wenzio! Wewe utachukua zako 20kwh!
Zikiisha itabidi MAIN METER ITOP UP KWANZA NDIPO UPATE WAKO!
Mfano kama MAIN METER Wakigoma kununua umeme ikawa na 0Kwh! Unaweza kununua umeme kwenye MAIN METER Halafu ukatengeneza token yenye thamani ya pesa ya umeme wako HIVYO UKAUKOMBA WOTE kutoka kwenye MAIN UKAJA KWAKO kwenye hiyo SEPARATE METER!
Cha kuzingatiwa ni kwamba lazima MITA IWE NA UMEME Ndipo separate meter ifanye kazi, bila hivyo ni kazi bure! Natumai kwa haya machache nimeeleweka
Kama kuna mtu anhitaji kazi za kiufundi UMEME na UJENZI au kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu 0711756341 au tembelea ukurasa wetu Instagram @samico_tanzania PIA TUNATOA USHAURI Bei ni nafuu sana!