Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sahihi mkuu nimekupata... hii changamoto ya ku-share mita za umeme inatakiwa iangaliwe upya. Kwa teknolojia ilipofikia sasa inatakiwa mita kuu iwe configurable such that, ninapoingiza umeme naielekeza iulekeze kwenye sub-meter ipi; as simple as that tatizo la shared meters litakuwa limeisha. Hivyo, haitegemewi main meter isiwe na umeme wakati kuna sub-meter haijamaliza consumption yake.
... kuhusu elfu moja ya pango kila mwezi; yes, hakuna kizuri kisicho na changamoto. Ni heri kukatwa elfu moja kila naponunua umeme kwa ajili ya sub-meter yangu kuliko kulala giza simply kuna wapangaji wabishi hawataki kuchangia au wanavizia wengine wanunue ili nao wafaidike. Inakera sana. Hata hivyo the best solution ni kujenga nyumba yako.
Hicho ni Mali yako unahama nacho popote pale kama unavyohama na feni lakomkuu Samico Tanzania nikinunua haka kadude mwasema,ni mali yangu mfano nayaka nikatumie kwenye frem ya biashara pamoja na hom (geto) je naweza kukatumia hako kadude kamoja sehemu,mbili tofauti?
Mim kuna nyumba nlikuwa nakaa ilifika kipindi tunapiga ngumi kabisa kwa sababu ya umeme mwenye nyumba akaamua kufunga hivyo vimeter kila mlango wa chumbaView attachment 2292606hiko kifaa ni saparet meter maswali yangu ni haya,,
1/ nikinunua,kimoja kinatumika,kwa,mpangaji mmoja tu?
2/ kama ni kwa,mpangaji mmoja tu je ile buku ya kila mwezi nikitaka kununua,umeme nikiweka itakatwa?
3/vipi kuhusu meter kuu kama wenzangu hawajaingiza umeme na tuko giza mimi wangu nao ukaisha je nitaweza kuendelea kujihudumia umeme bila meter kuu kuwa na umeme?
4/hii huduma je TANESCO wameipitisha? (inakubalika)
karibuni mnipe elimu.
NB:uzi usiunganishwe sehemu nahitaji majibu ya fasta nipate chaguo langu kabla ya maamuzi.
ASANTE!
mda mwingine mnajihisi mpo kwa putin kuna watu ni wabishi kulipia umemeMim kuna nyumba nlikuwa nakaa ilifika kipindi tunapiga ngumi kabisa kwa sababu ya umeme mwenye nyumba akaamua kufunga hivyo vimeter kila mlango wa chumba
Tulichokifanya umeme ukiisha mnanunua umeme wote kila mpangaji labda kila mmoja unit 15 tunaweka labda mpo sita kwa hiyo itakuwa 15 x 6 mnatumia ukiisha mnaweka tena sasa hapo mnarecord matumizi yaliyopita labda kimeter changu kimeandika unit 10.00 mwanzo nilinunua unit 15 basi hapo tutatoa 15.00 - 10.00 kwa hiyo mim bado nina umeme unit 5 kama nimenunua tena unt 15 zinajumlishwa nakuwa na unt 20
Kama mwingine alinunua unit 15 tulipofanya mahesabu ikaonekana katumia unit 40 umekula umeme wa watu wallah ukinunua umeme unaulipa
So tuliishi kwa amani hapakuwa na ugomvi tena
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
@TANESCO watwambieMajibu ni kama ifuatavyo!
Hiyo separate mita inafanya kazi kwa kutegemea MAIN METER YA TANESCO!
Hivyo cha kwanza kabisa lazima MAIN mita iwe na umeme ili hiko kisepareti meter kifanye kazi!
Hivyo makato yote ya kodi za serikali (Jengo, ewura, rea, na 18VAT) yanakatwa kupitia manunuzi ya MAIN METER YA TANESCO na si vinginevyo!
Je, kinafanyaje kazi?
Ni kwamba unaponunua hicho kiseparete meter dukani au kiwandani unapewa link ya kuingia na kuingiza mita namba ya MAIN METER!
Ambapo ukishaingiza mita namba inakutolea SUB TOKEN za umeme ambazo utalazimika kwenda kuziingiza kwenye separate meter ili umeme uwake!
Hivyo mfano!
MAIN METER YA TANESCO INA UNIT 100Kwh!
Ukitengeneza tokeni ya umeme wa unit 20 inamaana utapunguza kule kwenye 100 zitakuwa zimebaki 80 kwa wapangaji wenzio! Wewe utachukua zako 20kwh!
Zikiisha itabidi MAIN METER ITOP UP KWANZA NDIPO UPATE WAKO!
Mfano kama MAIN METER Wakigoma kununua umeme ikawa na 0Kwh! Unaweza kununua umeme kwenye MAIN METER Halafu ukatengeneza token yenye thamani ya pesa ya umeme wako HIVYO UKAUKOMBA WOTE kutoka kwenye MAIN UKAJA KWAKO kwenye hiyo SEPARATE METER!
Cha kuzingatiwa ni kwamba lazima MITA IWE NA UMEME Ndipo separate meter ifanye kazi, bila hivyo ni kazi bure! Natumai kwa haya machache nimeeleweka
Kama kuna mtu anhitaji kazi za kiufundi UMEME na UJENZI au kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu 0711756341 au tembelea ukurasa wetu Instagram @samico_tanzania PIA TUNATOA USHAURI Bei ni nafuu sana!
Unataka majibu sahihi au unataka TANESCO!@TANESCO watwambie
Kinauzwa bei Gani?Bahati mbaya sana iko hapo! Inamaana lazima MAIN MITA iwe na umeme ndipo hizo sub meter zingine zipate!
Hivyo TANESCO Hawajaruhusu mita yao ibaki ZERO halafu sub meter iendelee kutoa umeme kutokana na hofu ya wizi (meter tempering)
Lakini pamoja na hayo huenda watengenezaji wanaendelea na maboresho ili kuondoa changamoto!
Hizi SEPERATE MITA Kwasasa zinafanya kazi kwa VIGEZO NA MASHARTI!
1. lazima mita KUU iwe na umeme
2. Manunuzi yote yanapitia mita KUU
3. Separate mita siyo sehemu ya mali ya TANESCO Hivyo haiwezi kupewa ufanisi wa 100%.
4. Inahitaji usimamizi ili kuondoa mgogoro
Kwa anaehitaji huduma au USHAURI wa kiufundi save namba yangu, Hata kama huna nyumba save mawasiliano yangu 0711756341 au unaweza tembelea Instagram @samico_tanzania
Kuna aina mbili vipo vya kizamani ni tsh 20000 ambavyo havihitaji tokeni; kile cha tokeni Wauzaji huwa wanauza 150,000/=Kinauzwa bei Gani?
Kuna gharama zozote za kukifunga?
Hapo kwenye Red ndio umenenaKuna aina mbili vipo vya kizamani ni tsh 20000 ambavyo havihitaji tokeni; kile cha tokeni Wauzaji huwa wanauza 150,000/=
Hapo bado gharama za waya wa kufanyia diversion ili kutenganisha approximately 20,000/= na gharama za ufundi 10000/=
Note; kinasaidia kiasi chake endapo mtakubaliana kwa pamoja na wenzio kuzingatia vigezo na masharti UNLESS otherwise kama unataka tiba ya kero kwa 100% msijuane weka LUKU YAKO full stop
Hakuna cha mikonga mingi.ni mkonga mmoja tu wakuegemeza hizo nyaya mbili kama kawaida ila nyaya zinakua na junction kutoka mita moja kwenda nyingine.Yako majengo mengi tu kila chumba kina mita yake inayojitegemea.Mkuu hako kadude si wanasema ni kakwako peke yako ununue token uwaambie iweje,,, au unasemea shida ipo kwenye kuijaza ile mainmeter ili ipate kuhema?
Kuhusu Tanesco kutufungia kila chumba na umeme wake mkuu kwa vyumba hivi mita tatu kwa nne are you serious? Hiyo mikonga ya umeme kwenye nyumba moja tu si itakuwa kama zile bendera mitaa ya wahindi,,,.
Hicho Cha kizamani kina Sifa Gani?Kuna aina mbili vipo vya kizamani ni tsh 20000 ambavyo havihitaji tokeni; kile cha tokeni Wauzaji huwa wanauza 150,000/=
Hapo bado gharama za waya wa kufanyia diversion ili kutenganisha approximately 20,000/= na gharama za ufundi 10000/=
Note; kinasaidia kiasi chake endapo mtakubaliana kwa pamoja na wenzio kuzingatia vigezo na masharti UNLESS otherwise kama unataka tiba ya kero kwa 100% msijuane weka LUKU YAKO full stop
Huo mwandiko sidhani kama niwa madam yoyote chini ya hili jua.Labda kama ni wale madam wengine.
Uongo. Wewe ni fundi umeme kweli, separate meter kazi yake ni kuhesabu matumizi ya mtu tu haina uwezo mwingine wowoteMajibu ni kama ifuatavyo!
Hiyo separate mita inafanya kazi kwa kutegemea MAIN METER YA TANESCO!
Hivyo cha kwanza kabisa lazima MAIN mita iwe na umeme ili hiko kisepareti meter kifanye kazi!
Hivyo makato yote ya kodi za serikali (Jengo, ewura, rea, na 18VAT) yanakatwa kupitia manunuzi ya MAIN METER YA TANESCO na si vinginevyo!
Je, kinafanyaje kazi?
Ni kwamba unaponunua hicho kiseparete meter dukani au kiwandani unapewa link ya kuingia na kuingiza mita namba ya MAIN METER!
Ambapo ukishaingiza mita namba inakutolea SUB TOKEN za umeme ambazo utalazimika kwenda kuziingiza kwenye separate meter ili umeme uwake!
Hivyo mfano!
MAIN METER YA TANESCO INA UNIT 100Kwh!
Ukitengeneza tokeni ya umeme wa unit 20 inamaana utapunguza kule kwenye 100 zitakuwa zimebaki 80 kwa wapangaji wenzio! Wewe utachukua zako 20kwh!
Zikiisha itabidi MAIN METER ITOP UP KWANZA NDIPO UPATE WAKO!
Mfano kama MAIN METER Wakigoma kununua umeme ikawa na 0Kwh! Unaweza kununua umeme kwenye MAIN METER Halafu ukatengeneza token yenye thamani ya pesa ya umeme wako HIVYO UKAUKOMBA WOTE kutoka kwenye MAIN UKAJA KWAKO kwenye hiyo SEPARATE METER!
Cha kuzingatiwa ni kwamba lazima MITA IWE NA UMEME Ndipo separate meter ifanye kazi, bila hivyo ni kazi bure! Natumai kwa haya machache nimeeleweka
Kama kuna mtu anhitaji kazi za kiufundi UMEME na UJENZI au kwa maelezo zaidi unaweza kupiga simu 0711756341 au tembelea ukurasa wetu Instagram @samico_tanzania PIA TUNATOA USHAURI Bei ni nafuu sana!
Kivipi mkuu [emoji16] ?Huo mwandiko sidhani kama niwa madam yoyote chini ya hili jua.Labda kama ni wale madam wengine.
Mi nikajua tunazungumzia matumizi ya umeme kumbe wewe unazungumzia matumizi ya MTU, Basi sawa!Uongo. Wewe ni fundi umeme kweli, separate meter kazi yake ni kuhesabu matumizi ya mtu tu haina uwezo mwingine wowote
Cha zamani kinahesabu unit kama bill ya maji ilivyo! Continually! Hakistop kama last months uliishia unit 75 next kinaendelea 76,77,78.... Hivyo inakulazimu uwe na daftali kurekodi ilipoishia ili utoe unit za nyuma kupata idadi ya unit alizo tumia ndipo umuombe pesa kulingana na matumizi yake.Hicho Cha kizamani kina Sifa Gani?
Je,kinasoma tu tokeni au Kuna Cha ziada yaani kujipimia unit?
NAOMBA unipe maelezo mazuri kusudi niwafungie wapangaji wangu.