Ningependa tu kutoa ushauri, kufanya overhaul ni mara mia ununue mswaki ufunge. Mafundi tulionao wanaweza kukushawishi ufanye overhaul lakini tambua engine haiwez kuwa na the same performance+Life span ya engine is shortned.(Hapa unakua kama upo kwenye limp mode,Gari haina uwakika kwa safari ndefu.
Hivyo, ni bora ujipange kuliko upangwe na hawa mafundi wetu ambao wakishachukua hela yako,hana tena ushirikiano na any engine fault itakayojitokeza.
Au kama kuna yeyote alifanya overhaul ya hii engine aje na ushuhuda kuwa amekaa nayo over 3 yrs na haijawai kumsumbua.