Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta .
Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa vyao,mna list kweny mahitaji ya vifaa ata vitu visivyokuwepo boss usipokuwa makini ahh umeisha
Mafundi seremala nyie ndo matapeli sana,Kuna fundi nimempa hela za mbao anitengenezee kabati na meza Sasa ni mwaka ananizungusha ukimkuta ofisini uongo kibao,cm zangu apokei
Mafundi wengi ni matapeli Japo sio wote