Mafundi wengi ni wezi na matapeli

Mafundi wengi ni wezi na matapeli

Site nakaa mwenyewe ,waanzi kazi Hadi niwepo nikimaliza nafunga mlango wa stoo tuonane kesho.
Hakuna fundi ananiibia Mimi.

Kuna dogo nilikua namtuma kwenda kuchana mbao alikuwa anambia ubao kuchana buku ule wa 4*4 Kuna siku nimeenda mwenyewe kumbe kuchana ni 300
So alikuwa ananipiga 700 Kila ubao.

Nikampa kazi ya kujaza kifusi halafu nikampigia hesabu zile 700 alizokuwa ananipiga ndo ikawa malipo yake
Aiseee ulimuweza, wezi hiyo ndo dawa yao
 
Hii roho ya ajabu sana kila mtu anakula kazini kwake
 
Site nakaa mwenyewe ,waanzi kazi Hadi niwepo nikimaliza nafunga mlango wa stoo tuonane kesho.
Hakuna fundi ananiibia Mimi.

Kuna dogo nilikua namtuma kwenda kuchana mbao alikuwa anambia ubao kuchana buku ule wa 4*4 Kuna siku nimeenda mwenyewe kumbe kuchana ni 300
So alikuwa ananipiga 700 Kila ubao.

Nikampa kazi ya kujaza kifusi halafu nikampigia hesabu zile 700 alizokuwa ananipiga ndo ikawa malipo yake
Hivi nani kakudanganya ukikaa site ndo hauibiwi...? Hakuna fundi asie mwizi hata uwe unakaa stoo na funguo unayo ww unaibiwa vzri sana mpo kama nyinyi wengi na tunawaibia kila siku japokua mnajiona wajanja
 
Sawa fundi bishoo,labda wewe unaiba ila Mimi sijawahi ibiwa cement,bati,mbao,tiles,rangi etc!!
Labda misumali wawe wanaweka mfukoni!!
 
😁😁 kumbe ww una deal na hao mafundi tope ..? Ila hao hao wanakuibia sema haujui tu sasa ukija kwa mafundi umeme ndo kazi unayo utakula sana za uso mkuu
 
Mafundi tope ndo wapi?
Kwani nyumba inakamilika kwa mafundi wote.
Kiufupi hata hao umeme najua kipi kinakaa wapi na idadi gani na naenda kununua mwenyewe,
Hata kipande Cha waya mita 1 haondoki nacho mkuu.
 
Nakazia yaani mtu ananunua kifaa cha million moja na nusu halafu ww unaemfanyia installation anataka akupe elfu 70 inaingia akilini hii
Uzuri ukikataa wengine wanakuja funga.

Uzuri vifaa vyote huwa vina maelezo na DIY hivyo unafnaya tu
 
Mafundi tope ndo wapi?
Kwani nyumba inakamilika kwa mafundi wote.
Kiufupi hata hao umeme najua kipi kinakaa wapi na idadi gani na naenda kununua mwenyewe,
Hata kipande Cha waya mita 1 haondoki nacho mkuu.
😁😁😁Sawa ngja tuone ila kupigwa ndgu zangu lzma tupgwe tu nchi tu inatafunwa
 
Mafundi tope ndo wapi?
Kwani nyumba inakamilika kwa mafundi wote.
Kiufupi hata hao umeme najua kipi kinakaa wapi na idadi gani na naenda kununua mwenyewe,
Hata kipande Cha waya mita 1 haondoki nacho mkuu.
Huyu jamaa anataka tuaminisha tukubaliane na wizi.
Mafundi umeme usipokiwa makini wanaiba vibaya sana
 
Uzuri ukikataa wengine wanakuja funga.

Uzuri vifaa vyote huwa vina maelezo na DIY hivyo unafnaya tu
ni kweli hata mm ukinikuta nna shida zangu nafanya hyo kaz ila sio kwa ubora unaotakiwa ndo inavokua kitu hakikai sana unapga simu kimeharbika
 
Back
Top Bottom