HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Kuna fundi aliwahi funga DB afu akachomoa MCB 5 akaacha 5Mwenyewe nipo dukani hapa ,Tena sio alilonielekeza yeye,
Nimemwambia kasubiri site nakuletea vifaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna fundi aliwahi funga DB afu akachomoa MCB 5 akaacha 5Mwenyewe nipo dukani hapa ,Tena sio alilonielekeza yeye,
Nimemwambia kasubiri site nakuletea vifaa.
Aiseee ulimuweza, wezi hiyo ndo dawa yaoSite nakaa mwenyewe ,waanzi kazi Hadi niwepo nikimaliza nafunga mlango wa stoo tuonane kesho.
Hakuna fundi ananiibia Mimi.
Kuna dogo nilikua namtuma kwenda kuchana mbao alikuwa anambia ubao kuchana buku ule wa 4*4 Kuna siku nimeenda mwenyewe kumbe kuchana ni 300
So alikuwa ananipiga 700 Kila ubao.
Nikampa kazi ya kujaza kifusi halafu nikampigia hesabu zile 700 alizokuwa ananipiga ndo ikawa malipo yake
Mimi Hadi kwenye kokoto naendaga mwenyeweKuna fundi aliwahi funga DB afu akachomoa MCB 5 akaacha 5
Fundi anaona wewe unahela ,ukiwachekea tu wanakupiga.Aiseee ulimuweza, wezi hiyo ndo dawa yao
Hii roho ya ajabu sana kila mtu anakula kazini kwakeSite nakaa mwenyewe ,waanzi kazi Hadi niwepo nikimaliza nafunga mlango wa stoo tuonane kesho.
Hakuna fundi ananiibia Mimi.
Kuna dogo nilikua namtuma kwenda kuchana mbao alikuwa anambia ubao kuchana buku ule wa 4*4 Kuna siku nimeenda mwenyewe kumbe kuchana ni 300
So alikuwa ananipiga 700 Kila ubao.
Nikampa kazi ya kujaza kifusi halafu nikampigia hesabu zile 700 alizokuwa ananipiga ndo ikawa malipo yake
Nakazia yaani mtu ananunua kifaa cha million moja na nusu halafu ww unaemfanyia installation anataka akupe elfu 70 inaingia akilini hiiMaterial 3M
Labour 80k
Mnategemea nini mabosi?
Hivi nani kakudanganya ukikaa site ndo hauibiwi...? Hakuna fundi asie mwizi hata uwe unakaa stoo na funguo unayo ww unaibiwa vzri sana mpo kama nyinyi wengi na tunawaibia kila siku japokua mnajiona wajanjaSite nakaa mwenyewe ,waanzi kazi Hadi niwepo nikimaliza nafunga mlango wa stoo tuonane kesho.
Hakuna fundi ananiibia Mimi.
Kuna dogo nilikua namtuma kwenda kuchana mbao alikuwa anambia ubao kuchana buku ule wa 4*4 Kuna siku nimeenda mwenyewe kumbe kuchana ni 300
So alikuwa ananipiga 700 Kila ubao.
Nikampa kazi ya kujaza kifusi halafu nikampigia hesabu zile 700 alizokuwa ananipiga ndo ikawa malipo yake
Sawa fundi bishoo,labda wewe unaiba ila Mimi sijawahi ibiwa cement,bati,mbao,tiles,rangi etc!!Hivi nani kakudanganya ukikaa site ndo hauibiwi...? Hakuna fundi asie mwizi hata uwe unakaa stoo na funguo unayo ww unaibiwa vzri sana mpo kama nyinyi wengi na tunawaibia kila siku japokua mnajiona wajanja
😁😁 kumbe ww una deal na hao mafundi tope ..? Ila hao hao wanakuibia sema haujui tu sasa ukija kwa mafundi umeme ndo kazi unayo utakula sana za uso mkuuSawa fundi bishoo,labda wewe unaiba ila Mimi sijawahi ibiwa cement,bati,mbao,tiles,rangi etc!!
Labda misumali wawe wanaweka mfukoni!!
Mafundi tope ndo wapi?😁😁 kumbe ww una deal na hao mafundi tope ..? Ila hao hao wanakuibia sema haujui tu sasa ukija kwa mafundi umeme ndo kazi unayo utakula sana za uso mkuu
Nyeusi au zile za Dar?Mimi Hadi kwenye kokoto naendaga mwenyewe
Kuna siku nilimwagiza akaleta kokoto Zina vumbi balaa.
Mi kuna fundi nilikataa mlipa pesa zake hadi leoFundi anaona wewe unahela ,ukiwachekea tu wanakupiga.
Uzuri ukikataa wengine wanakuja funga.Nakazia yaani mtu ananunua kifaa cha million moja na nusu halafu ww unaemfanyia installation anataka akupe elfu 70 inaingia akilini hii
😁😁😁Sawa ngja tuone ila kupigwa ndgu zangu lzma tupgwe tu nchi tu inatafunwaMafundi tope ndo wapi?
Kwani nyumba inakamilika kwa mafundi wote.
Kiufupi hata hao umeme najua kipi kinakaa wapi na idadi gani na naenda kununua mwenyewe,
Hata kipande Cha waya mita 1 haondoki nacho mkuu.
Afu anajisifia wiziSawa fundi bishoo,labda wewe unaiba ila Mimi sijawahi ibiwa cement,bati,mbao,tiles,rangi etc!!
Labda misumali wawe wanaweka mfukoni!!
Huyu jamaa anataka tuaminisha tukubaliane na wizi.Mafundi tope ndo wapi?
Kwani nyumba inakamilika kwa mafundi wote.
Kiufupi hata hao umeme najua kipi kinakaa wapi na idadi gani na naenda kununua mwenyewe,
Hata kipande Cha waya mita 1 haondoki nacho mkuu.
ni kweli hata mm ukinikuta nna shida zangu nafanya hyo kaz ila sio kwa ubora unaotakiwa ndo inavokua kitu hakikai sana unapga simu kimeharbikaUzuri ukikataa wengine wanakuja funga.
Uzuri vifaa vyote huwa vina maelezo na DIY hivyo unafnaya tu
Sijasifu ila nmesema tu kuwa mafundi wote ni wezi hata umkabe vp fundi ataiba tuAfu anajisifia wizi
Una ushahidi gani wa kusema fundi umeme ni mwizi sana...?Huyu jamaa anataka tuaminisha tukubaliane na wizi.
Mafundi umeme usipokiwa makini wanaiba vibaya sana