Mafundi wengi ni wezi na matapeli

Mafundi wengi ni wezi na matapeli

ENEO NA BOMA LINAUZWA
KIBAHA KWA MFIPA JIRANI NA SEC.YA SIMBANI .
ENEO LINA UKUBWA WA NUSU HEKA. KUNA BOMA LA NYUMBA YA VYUMBA 3 VYOTE MASTER. SEBLE JIKO NA DINING. NIMEEZEKA VYUMBA 2. NA VYOO VYAKE TAYARI VINATUMIKA LINA TANK YA CHINI YA KUVUNIA MAJI LITA ELFU 3000.

UMEME NGUZO MBILI
MAJI NI MITA 500

km.1 kutoka main road

NATAKA ML. 18
 
Hata kinyozi ni matapeli juzi nimemwambia aninyoe pank ya kipolisi matokeo yake kaninyoa kiduku naonekana panya road mtaani
[emoji23][emoji23] HV mkuu umemaliza Hilo gorofa lako njooni bas niungisge wall puttin na tuvifa vingine
 
Ukitaka kuwa huru na kero za dunia hii jitahidi angalau ujue kila kitu, kama utaweza fanya mwenyewe mfano kazi ya ufundi, ukishindwa uwe na idea, ukiwa na idea ya anachofanya fundi umeme hana uwezo wa kukuibia sababu utanunua kitu unachojua kitafungwa wapi na ww utaamua nn kiwe wap na cha aina gani, ikiwezekana fundi aje site akute ushamuandalia kila kitu cha kazi yake, mfano mm, fundi wangu wa tiles huwa anajua boss wake nikimpigia siku atakuta kila kitu site, hakuna hesabu rahisi kama ya tiles ni hesabu ya upana mara urefu, na box la tiles linajulikana lina tiles ngapi na za ukubwa upi, uwe na tape measure yako, kalamu na karatasi pamoja na calculator yako ya simu, kama hujui tiles zikoje pita madukani watakwambia tiles za sakafu za cm50*50cm zinakaa 7 basi unarudi kwako unapima ukubwa wa chumba unatafuta eneo lako unajua zinaingia box ngap unaweka moja ya ziada fundi anakuja, akikwambia sqm moja sh 5000 hela ya ufundi basi unapima eneo lako la chumba wajua kabisa bei ya kumlipa hata kabla ya kuja, kuweni wabunifu.
Ngoja nimuulize Pius jins ya kupim Maru Maru nifahamu nipate idea tu

Ila vzr umesema kujuwa kila kitu au uwe na idea nacho kinapunguza uwezekano wa kupigwaa
 
Atoe kazi hatojuta kwakuwa hakuna kitu kitapotea
Tuanao jiamini tunaongia kazini kuendelea na kazi hatuwazi kuiba View attachment 2588193View attachment 2588194
20230414_120306.jpg
View attachment 2588196View attachment 2588195
 
Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta .

Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa vyao,mna list kweny mahitaji ya vifaa ata vitu visivyokuwepo boss usipokuwa makini ahh umeisha

Mafundi seremala nyie ndo matapeli sana,Kuna fundi nimempa hela za mbao anitengenezee kabati na meza Sasa ni mwaka ananizungusha ukimkuta ofisini uongo kibao,cm zangu apokei

Mafundi wengi ni matapeli Japo sio wote
Mimi ni fundi umeme ila sijui kama uwa naiba au inakiwaje.kama uwa naiba basi mwenyezi Mungu anisamehe kwa kweli.

Uwa namuandikia mteja bei za vifaa ambazo hata akienda dukani anazikuta izo izo, ila akiamua kunipa ela nikanunue basi uwa nina majicho yangu ya jumla ambayo najua sikosi kubaki hata na buku buku kwenye kila kifaa.

Kwa iyo mtusamehe mabosi zetu
 
udokozi na wizi wa rejareja ni mfumo rasmi wa maisha ya watanzania sema serikali haijatangaza rasmi tu.
 
Mimi ni fundi umeme ila sijui kama uwa naiba au inakiwaje.kama uwa naiba basi mwenyezi Mungu anisamehe kwa kweli.

Uwa namuandikia mteja bei za vifaa ambazo hata akienda dukani anazikuta izo izo, ila akiamua kunipa ela nikanunue basi uwa nina majicho yangu ya jumla ambayo najua sikosi kubaki hata na buku buku kwenye kila kifaa.

Kwa iyo mtusamehe mabosi zetu
Huo sio wizi hiyo ni entrepreneur..umejiongeza

kwenda hadi kutafuta hayo machimbo ni akili pia.

Wizi ni ule unaongeza vifaa au gharama kubwa tofauti na nei za dukani au unaficha vifaa na nyaya kwa manufaa yako.
 
Fundi wa fridge anakudanya eti gas ni ya kuongeza, kumbe ni low voltage, unatakiwa tu kununua stabilizer.
 
Huo sio wizi hiyo ni entrepreneur..umejiongeza

kwenda hadi kutafuta hayo machimbo ni akili pia.

Wizi ni ule unaongeza vifaa au gharama kubwa tofauti na nei za dukani au unaficha vifaa na nyaya kwa manufaa yako.
[emoji120] sawa mkuu uwa nafanya ivyo ili kulinda kazi yangu.maana uwa siwezi kumzidishia boss material au kumuongezea sifuri maana akija kujua basi unakuwa uwadui[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukitazama Kwa makini mafundi wengi wanaiba kutokana na uvivu wa mabosi wao......mtu unashindwa hata kufanya window shopping
 
Kuna mmoja fala sana, nimempa maelekezo ya jinsi ya kunyoa akafanya tofati.
Yaani akaninyoa panki kama la Madenge, halafu ndevu kidevuni kazungusha kiduara, mustache kaninyoa kiasi kwamba ukiniangal8a, sura ya Robert Mugabe inakuja, ya Hitler, Charlie Chaplain na baba wa taifa zote zinakuja, all those shits in one person. Kwa kifupi alinidharau na kunifanya mdoli.

Kulalamika nikaona ni kupoteza muda, ngumi ya chembe ndipo moyo wangu ukaridhika kwamba angalau na mimi nimempa stahiki.

Daaah!![emoji23][emoji23][emoji23]
Si utupie picha tuone hizo sura aiseeh!
Yaani nimecheka kinoma!
 
Back
Top Bottom