Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Nyeupe flani hivi zipo huku NamtumboNyeusi au zile za Dar?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyeupe flani hivi zipo huku NamtumboNyeusi au zile za Dar?
Kwamba contractor hatumii mafundi hawa hawa?Mpe contractor kazi mzee, hutojuta. We unaingia nyumbani na nguo tu.
[emoji23][emoji23] HV mkuu umemaliza Hilo gorofa lako njooni bas niungisge wall puttin na tuvifa vingineHata kinyozi ni matapeli juzi nimemwambia aninyoe pank ya kipolisi matokeo yake kaninyoa kiduku naonekana panya road mtaani
Ngoja nimuulize Pius jins ya kupim Maru Maru nifahamu nipate idea tuUkitaka kuwa huru na kero za dunia hii jitahidi angalau ujue kila kitu, kama utaweza fanya mwenyewe mfano kazi ya ufundi, ukishindwa uwe na idea, ukiwa na idea ya anachofanya fundi umeme hana uwezo wa kukuibia sababu utanunua kitu unachojua kitafungwa wapi na ww utaamua nn kiwe wap na cha aina gani, ikiwezekana fundi aje site akute ushamuandalia kila kitu cha kazi yake, mfano mm, fundi wangu wa tiles huwa anajua boss wake nikimpigia siku atakuta kila kitu site, hakuna hesabu rahisi kama ya tiles ni hesabu ya upana mara urefu, na box la tiles linajulikana lina tiles ngapi na za ukubwa upi, uwe na tape measure yako, kalamu na karatasi pamoja na calculator yako ya simu, kama hujui tiles zikoje pita madukani watakwambia tiles za sakafu za cm50*50cm zinakaa 7 basi unarudi kwako unapima ukubwa wa chumba unatafuta eneo lako unajua zinaingia box ngap unaweka moja ya ziada fundi anakuja, akikwambia sqm moja sh 5000 hela ya ufundi basi unapima eneo lako la chumba wajua kabisa bei ya kumlipa hata kabla ya kuja, kuweni wabunifu.
Tuanao jiamini tunaongia kazini kuendelea na kazi hatuwazi kuiba View attachment 2588193View attachment 2588194Atoe kazi hatojuta kwakuwa hakuna kitu kitapotea
Mimi ni fundi umeme ila sijui kama uwa naiba au inakiwaje.kama uwa naiba basi mwenyezi Mungu anisamehe kwa kweli.Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta .
Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa vyao,mna list kweny mahitaji ya vifaa ata vitu visivyokuwepo boss usipokuwa makini ahh umeisha
Mafundi seremala nyie ndo matapeli sana,Kuna fundi nimempa hela za mbao anitengenezee kabati na meza Sasa ni mwaka ananizungusha ukimkuta ofisini uongo kibao,cm zangu apokei
Mafundi wengi ni matapeli Japo sio wote
udokozi na wizi wa rejareja ni mfumo rasmi wa maisha ya watanzania sema serikali haijatangaza rasmi tu.Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta .
Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa vyao,mna list kweny mahitaji ya vifaa ata vitu visivyokuwepo boss usipokuwa makini ahh umeisha
Mafundi seremala nyie ndo matapeli sana,Kuna fundi nimempa hela za mbao anitengenezee kabati na meza Sasa ni mwaka ananizungusha ukimkuta ofisini uongo kibao,cm zangu apokei
Mafundi wengi ni matapeli Japo sio wote
Huo sio wizi hiyo ni entrepreneur..umejiongezaMimi ni fundi umeme ila sijui kama uwa naiba au inakiwaje.kama uwa naiba basi mwenyezi Mungu anisamehe kwa kweli.
Uwa namuandikia mteja bei za vifaa ambazo hata akienda dukani anazikuta izo izo, ila akiamua kunipa ela nikanunue basi uwa nina majicho yangu ya jumla ambayo najua sikosi kubaki hata na buku buku kwenye kila kifaa.
Kwa iyo mtusamehe mabosi zetu
[emoji120] sawa mkuu uwa nafanya ivyo ili kulinda kazi yangu.maana uwa siwezi kumzidishia boss material au kumuongezea sifuri maana akija kujua basi unakuwa uwadui[emoji23][emoji23][emoji23]Huo sio wizi hiyo ni entrepreneur..umejiongeza
kwenda hadi kutafuta hayo machimbo ni akili pia.
Wizi ni ule unaongeza vifaa au gharama kubwa tofauti na nei za dukani au unaficha vifaa na nyaya kwa manufaa yako.
Kuna mmoja fala sana, nimempa maelekezo ya jinsi ya kunyoa akafanya tofati.
Yaani akaninyoa panki kama la Madenge, halafu ndevu kidevuni kazungusha kiduara, mustache kaninyoa kiasi kwamba ukiniangal8a, sura ya Robert Mugabe inakuja, ya Hitler, Charlie Chaplain na baba wa taifa zote zinakuja, all those shits in one person. Kwa kifupi alinidharau na kunifanya mdoli.
Kulalamika nikaona ni kupoteza muda, ngumi ya chembe ndipo moyo wangu ukaridhika kwamba angalau na mimi nimempa stahiki.
Tanzania bado tuna matatizoUkitazama Kwa makini mafundi wengi wanaiba kutokana na uvivu wa mabosi wao......mtu unashindwa hata kufanya window shopping
[emoji23][emoji23] HV mkuu umemaliza Hilo gorofa lako njooni bas niungisge wall puttin na tuvifa vingine