Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Umeanza vibaya alafu ukamaliza vzuri kwamba "japo sio wote" ππMafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta .
Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa vyao,mna list kweny mahitaji ya vifaa ata vitu visivyokuwepo boss usipokuwa makini ahh umeisha
Mafundi seremala nyie ndo matapeli sana,Kuna fundi nimempa hela za mbao anitengenezee kabati na meza Sasa ni mwaka ananizungusha ukimkuta ofisini uongo kibao,cm zangu apokei
Mafundi wengi ni matapeli Japo sio wote
Fundi mkweli kinyozi...
Kuna mmoja fala sana, nimempa maelekezo ya jinsi ya kunyoa akafanya tofati.Fundi mkweli kinyozi...
NAKAZIAHawa dawa yao ni kuwasimamia na kukagua kila nukta
Mwenyewe nipo dukani hapa ,Tena sio alilonielekeza yeye,Hawa dawa yao ni kuwasimamia na kukagua kila nukta
πππππMwenyewe nipo dukani hapa ,Tena sio alilonielekeza yeye,
Nimemwambia kasubiri site nakuletea vifaa.
Site nakaa mwenyewe ,waanzi kazi Hadi niwepo nikimaliza nafunga mlango wa stoo tuonane kesho.πππππ
Ata huko site ukizibaa unapigwa vizuri tu
MatapeliiiiiiKabla ya kuhitimu ufundi,mwezi mmoja wa mwisho inaaezekana wanafundishwa Uongo.
Asilimia 99 ya mafundi ni waongo
Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta .
Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa vyao,mna list kweny mahitaji ya vifaa ata vitu visivyokuwepo boss usipokuwa makini ahh umeisha
Mafundi seremala nyie ndo matapeli sana,Kuna fundi nimempa hela za mbao anitengenezee kabati na meza Sasa ni mwaka ananizungusha ukimkuta ofisini uongo kibao,cm zangu apokei
Mafundi wengi ni matapeli Japo sio wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kinyozi ni matapeli juzi nimemwambia aninyoe pank ya kipolisi matokeo yake kaninyoa kiduku naonekana panya road mtaani
MkuuπSite nakaa mwenyewe ,waanzi kazi Hadi niwepo nikimaliza nafunga mlango wa stoo tuonane kesho.
Hakuna fundi ananiibia Mimi.
Kuna dogo nilikua namtuma kwenda kuchana mbao alikuwa anambia ubao kuchana buku ule wa 4*4 Kuna siku nimeenda mwenyewe kumbe kuchana ni 300
So alikuwa ananipiga 700 Kila ubao.
Nikampa kazi ya kujaza kifusi halafu nikampigia hesabu zile 700 alizokuwa ananipiga ndo ikawa malipo yake
HahaaaHata kinyozi ni matapeli juzi nimemwambia aninyoe pank ya kipolisi matokeo yake kaninyoa kiduku naonekana panya road mtaani