Mafundisho makuu ya Yesu aliyofundisha ni yapi ?

Wakati Buddha alilenga "kuacha mateso kupitia kuua tamaa"

Na Confucius alilenga "kuleta amani ya kijamii kupitia utaratibu na maadili,"

Yesu alilenga "uamsho wa kiroho wa ndani na upatanisho kati ya mwanadamu na Mungu" kupitia dhabihu ya upendo na kumwamini yeye mwenyewe..
 
Hayo mafundisho yake ya uamsho wa kiroho wa ndani ni yapi ?
 
Ili nikubali mafundisho yako, vigezo vyangu ni hivi:

 
Njoo ununue Yesu moja upate Maria kama nyongeza, delivery ipo
 

Attachments

  • Screenshot_2026-08-18_203520.jpg
    189.6 KB · Views: 9
  • 1786031181861.jpg
    55.4 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…