Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mkuu, ukipita Tancot House, nitawaagiza vijana wetu wa Audio Studio wakupatie.

Karibu sana.
Ahsante bro, nitafanya hivyo siku nikifika mjini kati.
Swali binafsi, unawezaje kuhimili kufanya kazi na watu ambao hawana maono kama yako, ambao hawaoni mbele kama uonavyo wewe (najua mara kadhaa umeshajikuta katika hali hii ngumu).
Jibu lako ni muhimu sana.
 
i have to admit ,,,you are a genius fella...bonge moja la idea aiseee.
 
Well, I welcome you to attend our Seminars. I am sure by the end of this Seminar for Self-Recognition you will have all answers. I can sponsor you!
 
mkuu hapa umesema sawa,kama nia ni kusaidia na sie wengi ni mafukara ,wafanye hivyo then malipo baadae.
 
eneo ninalo,nia ninayo,nguvu pia ipo,ila fedha hakuna ,je?naweza kopesheka kutoka kwenu halafu baada ya mauzo nikalipa?
 
Well, I welcome you to attend our Seminars. I am sure by the end of this Seminar for Self-Recognition you will have all answers. I can sponsor you!
Noted!
Me will find a space in me timetable for that bro, when be the next ocassion?
 
Wakuu mtu aliyesoma bach of technology in hortculture anaweza ajiriwa wap??
 
Wakuu mtu aliyesoma bach of technology in hortculture anaweza ajiriwa wap??

jiajiri tu mkuu mbona fursa unazo au unataka wakuajiri wakulima wadogo wa matunda. Anza mdogo mdogo hadi utaweza tu
 
Jamani kuna waliofanikiwa katika hili? tupeni mwongozo ipi ni njia njema ya greenhouse, huyu wa .5m au yule was 2.5m au yule wa 5m?
 
Jamani kuna waliofanikiwa katika hili? tupeni mwongozo ipi ni njia njema ya greenhouse, huyu wa .5m au yule was 2.5m au yule wa 5m?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…