Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Ndio umetumwa uje utangaze hivyo???mteja atakuamini vipi?hakuna jina la mtengenezaji,contact hata kapicha????Nikilinganisha na Wakenya wanavyotangaza bidhaa zao kweli Tanzania safari tuliyonayo bado ni ndefu saana
Kwani yeye kasema tangazo ?
Hilo ni wazo lake binafsi kwa ujumla.
Conact na picha ndivyo mlivyozoea kudanganywa.content zake zinatosha.
Unaonaje ukilinganisha ndoa yako na wakenya alafu ulete marejesho
 
Kama unaweza nitafuta kwa WhatsApp namba yangu ni 0756993428
 
Habari wana jamii, ningependa kuuliza kuhusu mradi wa greenhouse kwa yeyote anayejua naomba msaada
 
Habari wana jamii, ningependa kuuliza kuhusu mradi wa greenhouse kwa yeyote anayejua naomba msaada
Jiunge Kilimo biashara sasa hivi wanatoa semina leo ni siku ya tano na malipo ni elfu kumi tu kwq semina nzima. Tulioanza tangu jumatatu tumefaidi sana na leo ndo kuna somo hilo la greenhouse.
 
Good idea..ila kwa hiyo gharama si kweli..labda kama ni promo ya kuuzia kitabu...
 
Katika nchi hii kla mtu yuko huru kununua au kufanya chochote anachotaka, halazimishwi mtu. Atakayetaka kununua kitabu changu, anakaribishwa. Anayependa vya bure, sawa. Ikumbukwe vya bure huja na strings attached.
Penda wateja wako zaid ya products zako..mteja si lazima awe amesha fanya biashara na wewe..pia ukisha amua kufanya biashara kuwa na good customer care kwa swali lolote lile..ila unavyojibu tutakuona kama dalali tu.
 
Dalali uyo..katumwa kuuza vitabu.
 
Candid analysis..kwako naweza shawishika kabisa..ila 500k big No.
 
Upo sahihi kabisa..mimi majibu yake tu..nikamuelewa ni mtu wa aina gani...
 
Mkuu manning, hao "Kilimo biashara" hizo semina wanafanyia wapi? Na je, una namba zao za simu?
 
Mkuu manning, hao "Kilimo biashara" hizo semina wanafanyia wapi? Na je, una namba zao za simu?
 
Wakuu heshima kwenu.

Kuna jambo nataka kujifunza juu ya kilimo hichi kwa bahati mbaya sehemu niliyopo siwezi kupata data za kuniwezesha kujua abc za kilimo hiki.

Naamini huku nitapata elimu tosha juu ya gharama zake, changamoto, masoko, uhifadhi, mazingira ya aina gani yanafaa kwa kilimo hiki, kwa mwaka unaweza kupanda mara ngapi?

Madhara yanayoweza kusababishwa na kilimo hichi kwa afya ya binadamu

Ni aina ipi ya mboga/matunda /zinaweza kupandwa?

Natanguliza shukrani...
 
Gharama hitofautiana kulingana na ukubwa wa green house.

Changamoto ni uchavushaji/pollinatio unatakiwa kufanya mwenyewe kutegemea mazao utakayopanda
Kujua utapanda mara ngapi kwa mwaka itategemea zao ulilopanda linachukua muda gani kupanda had kuvuna.
Utunzaji wa mazingira, hakuna madhara yoyote kimazingira yanayosababishwa na Greenhouse ila naweza kusema greenhouse ni environmental friendly coz hakutakua na matumizi ya chemicals( organic)
Mazao ambayo unaweza kupanda
Nyanya, chines, hoho, kitunguu, bilinganya, n.k
 
Nashukuru mkuu kwa mchango wako.. Ukubwa wa eneo ukiwa miguu 50 kwa 50 unaweza kisia gharama za kufanya set up ya greenhouse kwa Ukubwa huo.

Huo uchavushaji unaufanya kwa mikono au kuna aina ya mashine inayofanya kazi hiyo?

Samahani kwa maswali kwa kifupi sina nijualo juu ya kilimo hiki
 
Mkuu wa wilaya ya Hai naye hajui maana na faida ya greenhouse . Ndiyo maana kaenda kubomoa miundombinu ya Kiongozi fulani wilayani kwake. Alidhani anang'oa chunga kwa akili yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…