Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Naomba kuuliza wadau,pale balton Tanzania wanaweza kukuuzia materials kama emmiters, poly covers, pressure regulator,drip line ili ukajenge mwenyewe au ukununua kwao lazima wakujengee wao, je kuna company nyingine wanaouza hivi vifaa? asante
 
Wapigie 0719 222 722 na kuwapa vipimo vya greenhouse yako na wao wanakukatia vifaa km vile plastics na net kama unazoziona kwenye video ya shamba langu hapo juu. Then unaenda jenga mwenyewe. Ila utaalamu hawakupi wa jinsi ya kuendesha kilimo baada ya kuijenga grenhouse yenyewe. Huwezi ipata formula ya kilimo cha kisasa kutoka kwao mpaka ununue ile package yao ya mil. nane
 
Watu wanauliza kama pia tunapima udongo. Ni kweli tunapima udongo kabla haujafanya kilimo
 
Iwapo utapata formula hii ya kilimo cha kisasa chenye faida, utapata mafunzo mengine bure mfano, kutengeneza sabuni za mche, mango pickle, tomato souce, losheni n.k
 
kilimo cha green house ni very challenging kwa Tanzania kwa sababu ya gharama na pia bei ya mazao haitabiriki hii ni kutokana na uzoefu wangu, kwa mimi ningeshauri wa Tanzania waanze na Drip line ili kupata uzoefu kabla ya kupoteza mamilioni.
How is drip line done, inahitaji vitugani ili uweze kufanya drip line kwa dar es salaam? mfano ekari moja unahitaji sh ngapi kwa drip-line?
 
Nawashauri kwa wale wasionauwezo sana Kuna dripline za watu wa hali ya chini an imefanya mageuzi makubwa ya umwagiliaji india na China,kampuni yenyewe inaitwa Driptech na hivi sasa zinapatikana nchini kwa dola 580 kwa heka moja, angalia kwenye YouTube Driptech.
$580 bado iko juu (sh 1,200,000) je unaweza kutupa vifaa na jinsi ya kuweka locally?
 
Kitu hicho
 
Attachments

  • 1447272891137.jpg
    1447272891137.jpg
    53.7 KB · Views: 185
  • 1447272914990.jpg
    1447272914990.jpg
    50.4 KB · Views: 171
Jf kuna watu wao hata hawamiliki hata kijiko kazi yao kuponda tu kila kitu ...watu hao wapuuzwe
 
Habarini....naomba kujulishwa kilimo cha greenhouse hatua kwa hatua pamoja na gharama zake. Je naweza anzisha maeneo gani? Vitu gani vinahitajika? Gharama zake zipoje?
Pia ningependa kujua aina ya mazao ambayo yanaweza oteshwa ndani ya green house.
Nitafurahi kupata somo somo juu ya hili.
Asanteni.
 
Mimi nivmtaalamu Wa greenHouse natoa Huduma zote kwa sh. 200,000. Nipe namba yako kwa mawasiliano zaidi!
 
Habarini....naomba kujulishwa kilimo cha greenhouse hatua kwa hatua pamoja na gharama zake. Je naweza anzisha maeneo gani? Vitu gani vinahitajika? Gharama zake zipoje?
Pia ningependa kujua aina ya mazao ambayo yanaweza oteshwa ndani ya green house.
Nitafurahi kupata somo somo juu ya hili.
Asanteni.
Pitia hapa utapata kila kitu unachotaka hadi kujenga
Www.hortiorganics.co.tz
 
hyo garama mbona ndogo sna utatumia simtank yalita ngapi?na aina ya material IKOJE?
 
Back
Top Bottom