Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kuuliza wadau,pale balton Tanzania wanaweza kukuuzia materials kama emmiters, poly covers, pressure regulator,drip line ili ukajenge mwenyewe au ukununua kwao lazima wakujengee wao, je kuna company nyingine wanaouza hivi vifaa? asante
How is drip line done, inahitaji vitugani ili uweze kufanya drip line kwa dar es salaam? mfano ekari moja unahitaji sh ngapi kwa drip-line?kilimo cha green house ni very challenging kwa Tanzania kwa sababu ya gharama na pia bei ya mazao haitabiriki hii ni kutokana na uzoefu wangu, kwa mimi ningeshauri wa Tanzania waanze na Drip line ili kupata uzoefu kabla ya kupoteza mamilioni.
$580 bado iko juu (sh 1,200,000) je unaweza kutupa vifaa na jinsi ya kuweka locally?Nawashauri kwa wale wasionauwezo sana Kuna dripline za watu wa hali ya chini an imefanya mageuzi makubwa ya umwagiliaji india na China,kampuni yenyewe inaitwa Driptech na hivi sasa zinapatikana nchini kwa dola 580 kwa heka moja, angalia kwenye YouTube Driptech.
Mimi nivmtaalamu Wa greenHouse natoa Huduma zote kwa sh. 200,000. Nipe namba yako kwa mawasiliano zaidi!Habarini....naomba kujulishwa kilimo cha greenhouse hatua kwa hatua pamoja na gharama zake. Je naweza anzisha maeneo gani? Vitu gani vinahitajika? Gharama zake zipoje?
Pia ningependa kujua aina ya mazao ambayo yanaweza oteshwa ndani ya green house.
Nitafurahi kupata somo somo juu ya hili.
Asanteni.
hellow....Mimi nivmtaalamu Wa greenHouse natoa Huduma zote kwa sh. 200,000. Nipe namba yako kwa mawasiliano zaidi!
Pitia hapa utapata kila kitu unachotaka hadi kujengaHabarini....naomba kujulishwa kilimo cha greenhouse hatua kwa hatua pamoja na gharama zake. Je naweza anzisha maeneo gani? Vitu gani vinahitajika? Gharama zake zipoje?
Pia ningependa kujua aina ya mazao ambayo yanaweza oteshwa ndani ya green house.
Nitafurahi kupata somo somo juu ya hili.
Asanteni.
NikotayariPitia hapa utapata kila kitu unachotaka hadi kujenga
Www.hortiorganics.co.tz
mkuu yaani hiyo hela uliyoweka hapo ni makadirio ya kujenga greenhouse au maana sijaelewaMimi nivmtaalamu Wa greenHouse natoa Huduma zote kwa sh. 200,000. Nipe namba yako kwa mawasiliano zaidi!
Nimahitaji yote ya greenhouse ikiwemo na miche yake na vitu vyote muhimu ukiwemo na utafiti!mkuu yaani hiyo hela uliyoweka hapo ni makadirio ya kujenga greenhouse au maana sijaelewa
Mkuu ofisi zenu ziko wapiNimahitaji yote ya greenhouse ikiwemo na miche yake na vitu vyote muhimu ukiwemo na utafiti!
Ni PM kwa mawadiliano.hyo garama mbona ndogo sna utatumia simtank yalita ngapi?na aina ya material IKOJE?