Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
- Thread starter
-
- #241
kweli hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke..mkaa wangu leo umewaka lakin c kwq kiwqngo cha kuridhisha kwq sabb ulikua unainekana kupoa sana,ila bado naendelea kufanya marekebisho mpaka kieleweke
sawq mkuu ila natumaini huu saivi utakua poa tulishea idea na bwn mbepo myambaKuna mahali inaonekana unakosea maana watu wengi huwa hauwasumbui sana kuutengeneza. Hebu achana na zile ratios na tumia yale maelekezo niliyoyaandika kwenye kitabu yale ya makadirio. Tumia hayo maelekezo kwa uangalifu na relax ufanye taratibu tu utakuwa vizuri usiwe na haraka. Jaribu hivyo then utanitaarifu
naona tatizo lako ndio nililonalo mimi,una majivu sana na moshi pia wa kwangu cjajua bado nirekebishe nn!
Wadau nambieni kuhusu hiyo oven ya kukaushia mkaa tafadhali
kitabu kinauzwaje... n vip soft copy zinaeza patikana alafu transaction zikafanyika
Za asubuhi wapendwa..mimi naendelea kumshukuru mungu kuwa naona mambo mazuri. Jana nilitumia mkaa ambao nilianza kama majaribio kwa kutumia kamachine kadogo. Nimeuanika kwa muda mrefu unawaka 1. vizuri 2.unakaa kwa muda mrefu bila kuzima..shida ninayoona ni majivu mengi.
Jipange na utengeneze solar dryer itakusaidia mala dufu , na ni lahisi kutengeneza
mkuu tupe mwongozo namna ya kutengeneza hiyo drier ya solar,plz naomba utujuze hiyo elimu tafadhaliJipange na utengeneze solar dryer itakusaidia mala dufu , na ni lahisi kutengeneza
Asante Ngamba..nipe muongozo je naipataje..umesema ni rahisi kutengeneza..naomba msaada tafadhali
Mkaa wangu nlioufanyia marekebisho baada ya kua na kasoro sample za mwanzo leo nimeujaribu umewaka vizuri leo walipikia maharage na ukaivisha bado naendelea kuutengeneza mwngne kwa majaribio nikiridhika ntapeleka kwny soko kwa majaribiokweli hakuna kurudi nyuma mpaka kieleweke..mkaa wangu leo umewaka lakin c kwq kiwqngo cha kuridhisha kwq sabb ulikua unaonekana kupoa sana,ila bado naendelea kufanya marekebisho mpaka kieleweke