wewe kinachokusumbua kama siyo bangi basi nyege changa,maana huelimiki.mwenzio anafundisha ujasiriamali wewe unatangaza njaa hapa,basi tukufundishe K.U.F.I.R.W.A ndo unachokijua naona.ushauri tu hamia jukwaa la mapenzi
Nadhani ishu aliyoulizia mwanahip ni ndogo tu ambayo haikutakiwa ianzishe malumbano yenu ambayo imebidi mpaka mtukanane. Hakuna haja ya kutukanana tuko hapa kwa upendo na kusaidiana kuondokana na umaskini. <br><br>Mwanahip ishu yako ni kuwa maeneo mengi hapa nchini yana raw materials hivyo ukianzisha mradi wako si rahisi kushjindwa kupata raw materials. Sijui nimekujibu vizuri
Nadhani ishu aliyoulizia mwanahip ni ndogo tu ambayo haikutakiwa ianzishe malumbano yenu ambayo imebidi mpaka mtukanane. Hakuna haja ya kutukanana tuko hapa kwa upendo na kusaidiana kuondokana na umaskini. <br><br>Mwanahip ishu yako ni kuwa maeneo mengi hapa nchini yana raw materials hivyo ukianzisha mradi wako si rahisi kushjindwa kupata raw materials. Sijui nimekujibu vizuri
'i think so brother biashara unajua duniani kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kuwa mafedhuli tu kwa wenzao sasa hili ni tatizo kubwa sana hasa kwa mtu ambaye hajijui halaf hajui kama hajijui sasa watu kama hawa dawa yao ni ndogo tu mkuu wala sio wa kupata nao shida kiongozi wangu,NIMEKUPATA MKUU'
Usijali. Ila ningependa kama mngepatana na kusaidia katika mambo haya ya ujasiriamali itakuwa vizuri sana.
Pia nishaupikia..jamani ni mzuri sana
Mkaa huku kwetu ushaanza kupanda bei kuelekea kipindi cha sikukuu
Wenzangu mliopo Arusha Moshi tutafutane na sisi tuone tunatokaje hapa tulipo..
Mbona mi hujanitumia hiyo video, au nimechelewa ofa?
Nitumie email yako
Kuna mtu mmoja ameniambia lea asubuhi kuwa hivi karibuni kutakuwa na maonyesho ya kazi za wajasiriamali hapa dar ila hajajua bado itakuwa tarehe ngapi na ukumbi gani ila itakuwa mwezi ujao mwanzoni. Nikipewa taarifa ntaziweka hapa ili watakaotaka kushiriki na kuonyesha kazi zao za mkaa wajitokeze kuzionyesha maana tumeshaona humu kuwa kuna watu wamefanikiwa kupata masoko na mikopo kirahisi baada ya kuonyesha bidhaa yao ya mkaa kwenye maonyesho na humu mtandaoni
Ukitaka kununua mashine za mkaa zinaanzia laki 2. Wapigie wazungu hao kwa hii namba wako pale mbezi beach 0716 492712 ila kama ulinunua dvd yangu ya mkaa utakuwa umeona mama mmoja mule ndani anatumia mashine flani hivi iliyokuwa modified kutengeneza mkaa. Hata wewe unaweza tengeneza mashine kama ile kwa sh. 75,000 na ikazalisha kiwango kile kile kama hiyo ya laki 2
Hivi Mkuu hakuna fundi anayeweza kumodify hiyo mashine ya 75000 akaweka kamota kadogo kakuendesha?
Kama kuna mtu namjua fundi anayeweza kufanya hicho kitu anijuze tafadhali
habari mkuu eti hii mashine ya 75000 ikoje?au ndo hizihizi za kugrand nyama ambazo c lazima 75000 cz zna bei tofautitofautiHivi Mkuu hakuna fundi anayeweza kumodify hiyo mashine ya 75000 akaweka kamota kadogo kakuendesha?
Kama kuna mtu namjua fundi anayeweza kufanya hicho kitu anijuze tafadhali
habari mkuu eti hii mashine ya 75000 ikoje?au ndo hizihizi za kugrand nyama ambazo c lazima 75000 cz zna bei tofautitofauti