Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

Status
Not open for further replies.
Napenda kupata dvd ya green and ya mkaa, ila naishi entebbe uganda so nijulishe nawezaje kuzipata and jinsi nitakavyoweza kutuma malipo

Sasa sijui utatumaje hela kutoka huko, ila kama una ndugu bongo anaweza kukusaidia kununua
 
Aaaah this sounds like ule mkaa utokanao na makaratasi au siyo!? Funguka bana ili watu wajue na wapate mavituzi ya kuwaondolea umasikini!

Na mimi nilikuwa nawaza kitu kama hiki. Nikirejesha akili nyuma ni kama niliwahi soma hi kitu.

Ngoja nitulie kidogo.
 
Mimi natamani kilimo cha maua. Ndiyo ndoto yangu. Nisaidie.
 
tanzania inakuwa jangwa ww unahamassha ktengeneza mkaa,
 
tanzania inakuwa jangwa ww unahamassha ktengeneza mkaa,

Wapi umeona nimeandika watu wakakte miti???!! Fanya kazi kidogo ya kusoma niichoandika na si kurukia mambo kwa sababu tu unataka nawe uonekane
 
Sasa sijui utatumaje hela kutoka huko, ila kama una ndugu bongo anaweza kukusaidia kununua

Kutuma hela inaweza kuwa sio shida ila kupokea hio dvd ndo inaweza kuwa issue, je unaweza kuiweka katika mabasi yanayokuja uganda?????
 
Mkuu Smart ingekua vizuri ungeweza kutufundisha na wengine kuna vijana wapo humu hiyo 10000 ni matumizi yake,
ila mneweka elimu hadharani ingesaidia huwezi jua ni wangapi utawakomboa just kwa kushare kidogo ulichokijua.
Kusema ule ukweli baada ya kununua hiki kitabu kimenifunza mambo mengi sana kuhusu biashara ya mkaa sana sana jinsi ya kutengeneza bila kuwa na ulazima wa mashine. Kimeniwezesha kuanza kutengeneza mkaa kwa mtaji mdogo sana. Nimetengeneza vipisi kadhaa vya kujaribu kupikia na nimeweza kupikia nyama. Kwa hiyo sasa nimeanza production rasmi. Nakushauri ukinunue kama utaweza
 
Last edited by a moderator:
Asante sana kwa hilo;

Maua yanaota vizuri si arusha tu, hata Dar yanatoka vizuri tu na yana soko zuri. Pia unaweza anza bila hata greenhouse na ukapata mazao safi tu. Ukiwa na ekari 1 unaweza tengeneza sh. mil. 4 kila baada ya miezi 3.
Ukinunua DVD ya greenhouse ntakupa ya kilimo cha maua bure
 
Hii mada ni potential lakini muanzisha mada umekuwa ukibana, hakuna mtu atakaye kataa kuhudhuria mafunzo au kununua kitabu kama ukimshawishi vizuri. Kutoa maelezo kamili ni njia mojawapo ya kumshawishi mteja
 
Hii mada ni potential lakini muanzisha mada umekuwa ukibana, hakuna mtu atakaye kataa kuhudhuria mafunzo au kununua kitabu kama ukimshawishi vizuri. Kutoa maelezo kamili ni njia mojawapo ya kumshawishi mteja

Ni maelezo gani ungependa upate?
 
Tokea uliponitumia DVD za mafunzo ya mkaa, greenhouse pamoja na ile ya ofa ya bure ya kilimo cha maua kinacholipa, naamini kuwa maisha yangu siku si nyingi yatakuwa mazuri Mungu akijaalia. Nilippokea ile DVD ya maua sikuiangalia kwa kuwa nilikuwa nataka nianzishe mradi wa mkaa na greenhouse. Ila shangazi yangu ambaye ni bwana shamba kule sakina Arusha alipokuja huku Moro kwenye sherehe ya kifamilia, akawa ananisimulia jinsi anavyowasaidia wakulima mbalimbali kule Arusha. Nikamweleza kuhusu mipango yangu ya miradi. Akanishauri nianze miradi ya mkaa na kilimo cha maua kwa wakati mmoja kwa kuwa yote naweza anza na mitaji midogo. Na pia atanisaidia kupata masok ya maua kwa kuwa yeye ameshajuana na wafanyabiashara wengi wa maua mjini Arusha.

Nimeshaanza mradi wa mkaa na wa maua. Hapo chini utaona picha ya sehemu ya shamba langu la maua. Nina eneo la mita 20 kwa 35 (20x35) miche niliyopanda mpaka sasa ni miche 105,000 ila kutokana na eneo lenyewe nililopo kuna wafugaji wanafuga karibu hivyo kuna uwezekano angalau miche 5000 ikaliwa na mbuzi ingawa najaribu kulinda mimea yangu, hivyo kuna uwezekano nikavuna miche 100,000 na kama nitauza kwa bei iliyopo ya sh. 25 kwa mche ntapata sh, 2,500,000 kila baada ya miezi 3. Baadae ntaanza kutumia ile tekniki yako ya kupanda na kuweza kuvuna kila baada ya wiki 2 badala ya kila baada ya miezi 3. Ila hata hvyo kupata sh. 2,500,000 kila baada ya miezi 3 ni kubwa sana kulinganisha na mshahara wangu wa kuajiriwa. Ubarikiwe sana bw. Biashara2000.
 
Jamani hebu tuache kutaka kulishwa bure kila kitu. Mkuu Biashara2000 nashukuru mie kwa ile video ya mkaa nimepata kweli mwanga. Sasa nimepata machine ya kuzalisha mkaa kwa wingi pamoja na elimu ya kuuboresha zaidi. Nimekuwa mpya na sijutii ile 10000 niliyotoa kabisa. Ntaanza kuuza mkaa wangu juma lijalo.Mwanzo hapa mtaani waliniona kama chizi niliyechanganyikiwa na maisha kwa sababu inawia vigumu sana kuelewa unapomuona mtu mwenye degree akibeba raw materials za mkaa. Bt kwa hii business imenifungua. Niko kijitonyama mpakani B na natazamia zaidi soko la hapa mjini. Karibuni kwenye ujasiliamali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom